GE2025 Mwanasiasa anayetaka kwenda Ikulu kwa kudanganya watu hatoshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tuige mfano wa Rais wa Burkina Fasso. That Mhe. analeta maendelo na hana mchezo na rasilimali za nchi yake.
 
Haswaaaaa. Mfano mzuri ni huyu Mama anadanganya sana watu. Hafai kwenda ikulu
 
Kwani huo umeme kijijini kwenu ulisambazwaje kama nchi ingekuwa inaliwa. kwenu hakuna shule, zahananti wala barabara. Unadhani tanzania tuna askari wangapi wanaolinda mipaka yetu, raia na mali zao ili tuwe salama kama hivi? walimu wangapi? wauguzi wangapi? madakatari wangapi? wanasheria wangapi? na watumishi wengine wanaohitaji kulipwa? unajua wanalipwa hela ngapi?
 
Someni kuhusu 'government services delivery'
 
Sasa ninakutambua rasmi kwa umzoga wako. Huna tofauti yoyote na mizoga kama Tlaatlaah; kwa hiyo lililobaki kwangu ni kukuchukulia hivyo hivyo kama mizoga inayochafua hali ya hewa tu.
Majibu yangu kwa matakataka yako humu nitayapa hadhi hiyo hiyo ya matakataka; na kuyasafisha kila inapolazimu.

Sasa ona uchafu kama huo uliobandika hpo juu. Haya nayo ni mambo ya kujazia watu humu JF ili watu waone mfugaji wako anafaa kuendelea madarakani kwa nguvu, bila ya ridhaa ya wenye nchi?
 
wewe ni uvundo kwenye jamii. Tutakula nanyi sahani moja, mwongo ni hatari kuliko mchawi, nyashuwe
 
Wacha kuandika kama mtu aliyekurupuka kutoka usingizini 🤨
 
Tazama utititiri wa takataka za mada ulizojaza humu kama huamini kwamba wewe ni mzoga hasa!
Nini kinakufanya uwe na kiherehere kiasi hiki hadi ujitoe ufahamu vile.
Ninapokutambua kama mzoga ilewa sibahatishi, ushahidi kamili upo.

Soma maandishi ya mzoga mwenzio Tlaatlaah humu, halafu uje unieleze kuwa nyinyi kweli siyo mizoga.
 
endelea kuzisoma kama unao muda, huenda ukakutana na muujiza wako kupitia mada hizi. Tumia akili yako kutafakari mambo bro, tanzania tuko mbele sana kuliko nchi nyingine Afrika. Ukweli huu najua unaujua lakini unawapumbaza watoto wadogo na mabwege wasioweza kufikiri sawasawa, hasa wale ambao exposure yao ni ndogo sana.
 
Kusoma hakunipi shida, kwa sababu mimi ni 'speed reader'.
Nilikuwa napata taabu ya kujibu takataka hizo kabla sijakutambua kuwa wewe ni mmoja wa mizoga iliyomo humu kwa kazi maalum.
Maadam sasa nakujuwa vyema, sipati shida tena ya kutumia muda wangu kutafuta majibu juu ya takataka. Nitazijibu vilevile kama zilivyo takataka. Na fahamu, sitaacha kuzijibu.
 
Alipogusa makaa tu mkamkamata na kumzawadia uhaini.
 
sio lazima ujadili mada za wanaume kijana....nenda kajadili kuhusu mbususu na wajinga wenzio
 
Mnajitahidi kumsafiaha mama wa watu ila ukweli utabaki ukweli mama anayumba sana kuruhusu wahusu wamtumie watakavyo..
 
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa MUNGU, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa. ILA AOMBE KWA IMANI, PASIPO SHAKA YEYOTE; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo, na kupeperushwa huku na huku. Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa BWANA. Mtu wa nia mbili husita-sita katika njia zake zote.”
Kwenye maombi Kuna Imani ya kuomba na kuna Imani ya kupokea.
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/15yCfRLbh6/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…