TANZIA Mwanasiasa mkongwe, Mzee John Lifa Chipaka Afariki Dunia

Rip MZEE wetu. Wakubwa wekeni hz stori vizuri zisaidie wengine hasa sisi kizaxi jipya. Yehodaya na Allen mna vitu vizuri sana japo mwalumbana. Sio siri stori zenu zimeleta raha humu. Tuendeleee kumkumbuka MZEE wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIPJ.L CHIPAKA hivi ndugu yake ELIA LIFA CHIPAKA yupo wapi?
 
rip mzee mpiganaji ...asante Allen Kilewella KUWEPO KWENYE HUU UZI KUNA WATU WANAFIKI NA WAZANDIKI MNO MNO! KICHEFUCHEFU TU
 
Hii sheria kweli ipo maana hata mataifa ya ulaya wanaitumia sana kwenye siasa zao yupo wapi Robin Cook, Claire Short au Dr. Kelly. Yaani ukienda tu kinyume na interest za nchi yao na kunyima benefit ya mamilion ya watu wanakumaliza taraatibu. Country first mtu binafsi baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii habari inanifanya niwe na shaka na ukweli wa habari yako nzima. Hili jambo sio kweli.
 
Pumbaf nilijua mtu wa maana kumbe umejawa na chuki tu za kabila fulani yote unayoongelea hayana maana unataka kupandikiza mbegu zako za chuki tu we endelea na chuki zako kawaambukize wajukuu zako sio kuja kuturopokea huku
 
Inna Lillah Wainna Ilayhi Raajiuun
 
R.I.P

Watu waliimbishwa nyimbo za kuwakashifu akina chipaka,kambona mashuleni katika mchakamchaka,kumbe walikuwa wanapigania Uhuru wa kuongea tu,Uhuru wa kisiasa! Hakika TANU na CCM wali-corrupt akili za watanzania

Hii imekuwa ndio tabia kuu ya nchi za kijamaa,kupangia watu jambo la kufikiri badala ya kuwaacha watu wafikiri,tuliimbiwa hotuba za kukashifu matajiri,wenye mali, UGONJWA HUU WA AKILI haujawatoka wengi,na ni matunda ya ujamaa,wengine mpaka leo wanao

Jenerali Ulimwengu alisema kidemokrasia tumerudi nyuma miaka 50! Ni kweli,zaidi ya miaka 50 iliyopita Nyerere alifuta vyama vingi,zaidi ya miaka 50 iliyopita Nyerere aliwakamata akina Lifa Chipaka kwa kuwa tu walikuwa washindani wake kisiasa,zaidi ya miaka 50 iliyopita Nyerere aliwafunga watu hawa bila hata kuwa na sheria!

Leo miaka 50 tunabuni makosa ya uchochezi ili kuwakamata wapinzani,tumerudi nyuma kula matapishi

Nyerere aliyaona makosa aliyofanya ya Kufuta mfumo wa vyama vingi na alipiga kelele mpaka ukarudishwa,leo kuna mtu haoni umuhimu wa vyama vingi na anafanya kazi ya kuvivuruga,taifa lilifanya kosa,likajifunza,leo kuna mtu MMOJA TU katika taifa ambaye hajaelewa umuhimu wa vyama vingi,lakini hata mtoto wa miaka 15 haoni shida kusikia vyama vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…