TANZIA Mwanasiasa mkongwe, Mzee John Lifa Chipaka Afariki Dunia

Sitaki kutukana Leo.
Sitaki kutukana Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I can vividly recall that tune!
 
Watu wa umri wangu waliosoma Kibaha sekondari watamkumbuka Mwl Kazibure. Alipata adhabu ya kudumu kutoka kwa Nyerere, ulizeni kisa. Wapo wengine akina marehemu Tuntemeke Sanga walikatishwa PhD wakaambiwa warudi nyumbani kuhamasisha 'kilimo cha kufa na kupona'. Kaka yangu alimaliza form six kwa marks nzuri, lakini akapelekwa Lindi kuwa mwalimu eti ni 'Azimio la Musoma', aliruhusiwa kwenda chuo kikuu baada ya miaka miwili. Leo hii watu wakimsikia mtu ana slogan ya 'Hapa Kazi Tu', hawajui kuna aliyeitekeleza 'kibabe' hasa. Mnajua chanzo cha 'Gezaulole'?
 
Nimeipata mahali hii sauti. Huenda yenyewe. Tulikuwa tusikilizia kwenye radio ya Mbao au dudupruf keenye Shot wave, WILIAM Njelanji, Moses MKANDAWILE na mwenzake. Nilikuwa mdogo enzi hivyo na Nyimbo za mbongomani nyingi HV!¡


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Wewe si uko iringa waulize wazee hapo iringa miaka Ya 70 Kama hakukuwa na ndege za makaburu zikimwaga vipeperushi mjini Na vijijini vyenye picha za wito wa kambona. Uko iringa wewe confirm

YEHODAYA,

Mimi nataka ku-argue na wewe objectively kwa sababu hapa tunatunzza historia. Hata mimi nilisimuliwa kwamba kuna ndege zilikuwa zinapeperusha vikaratasi vya Kamboona na wewe hapa unasema kwamba Chipaka alikuwa mmoja katika ile kesi ya kutaka kumpindua Nyerere.

Sasa hapa unasema kwamba ndege zilipeperusha vikaratasi miaka ya 1970, wakati Chipaka na wenzake wako ama mahabusu au gerezani tangu October 1969.

Sasa hapa unamhusishaje Chipaka na ndege za vipeperushi wakati akiwa gerezani?
 
Thanks kwa kunirebisha ilikuwa miaka Ya 60 baada ya Nyerere kutangaza azimio la Arusha mwaka 1967 uko sahihi asante kurekebisha
 
Kweli mkuu tuliimbishwa nyimbo kumbe watu walikuwa wanapigania demokrasia,nyerere alikuwa hatari sana
R.I.P comrade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu tuliimbishwa nyimbo kumbe watu walikuwa wanapigania demokrasia,nyerere alikuwa hatari sana
Hatari sana,huyu Nyerere ndio anataka kutangazwa mtakatifu!!!! Maajabu,katesa sana watu
 
Pumzika Kwa amani chipaka

OvA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…