OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hicho kipeperushi cha mwanaspoti kinasomwa na nyani wa pori la Utopolo tu.View attachment 1900334
Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini.
Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la utambulisho wa wachezaji wake huku wakiwa tayari kambini. Zoezi la usajili lilikuwa siri sasa mwandishi ulitaka kuja kujua siri za timu na siri za kambi?
Mkitaka kujua habari za Simba nendeni website yake,page za mitandao au mwiteni Ezekiel Kamwaga aje awape habari
Siku zote mnatete ujingaSimba wako sahihi kwakweli ni next level
acha kujitoa ufaham.Ezekiel kamwaga atatoa habari za timu ipo rabat,halaf yeye yupo dar?Au yeye ni mganga wa kienyej anaotea?View attachment 1900334
Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini.
Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la utambulisho wa wachezaji wake huku wakiwa tayari kambini. Zoezi la usajili lilikuwa siri sasa mwandishi ulitaka kuja kujua siri za timu na siri za kambi?
Mkitaka kujua habari za Simba nendeni website yake,page za mitandao au mwiteni Ezekiel Kamwaga aje awape habari
kamwaga hela ya kujilipia nauli hana yupo dar.Na mambo ya kulala koridon hayawez mayai huyo.View attachment 1900334
Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini.
Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la utambulisho wa wachezaji wake huku wakiwa tayari kambini. Zoezi la usajili lilikuwa siri sasa mwandishi ulitaka kuja kujua siri za timu na siri za kambi?
Mkitaka kujua habari za Simba nendeni website yake,page za mitandao au mwiteni Ezekiel Kamwaga aje awape habari
Umbumbumbu ni mzigo mkubwa sana
Kwamba sisi Simba ni wajinga?Siku zote mnatete ujinga
Nyie demkeni tu wachezaji wakirudi na mimba msipige kelele, Mwarabu kawalipia kila kitu hawezi kuwaacha salama.Huyo Ezekiel anatolea wapi hizo taarifa na yupo anapuyanga Dar timu ipo Morocco?
Yani kweli Afisa Habari wa timu anashindwa kukatiwa ticket? Kwamba hana umuhimu ama? Na yeye anakaa Dar kungoja apewe taarifa kama mashabiki ...
Aisee.
Ubaya yule kulala koridoni hawezi kama mwenzake aliyepita.
Shabiki pekee wa Simba mwenye akili ni Mshana Jr tu, nyie wengine ngedere tuView attachment 1900334
Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini.
Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la utambulisho wa wachezaji wake huku wakiwa tayari kambini. Zoezi la usajili lilikuwa siri sasa mwandishi ulitaka kuja kujua siri za timu na siri za kambi?
Mkitaka kujua habari za Simba nendeni website yake,page za mitandao au mwiteni Ezekiel Kamwaga aje awape habari
Sio kila kitu uige Ulaya.Hivi jf iliwezaje kuleta mbumbumbu kama wewe?
hujui hata kazi ya mwandishi ni nini?
Sijui umeishia darasa la ngapi?.
Eti usajiri unakuwa siri tangu lini?
Kwahiyo kule ulaya fabrizio Romano anapotoaga zile updates za wachezaji na inakuja kutokea kweli kuhusu usajiri, ni ushamba? Au wewe ndio mshamba na wenzio?.
Hii nchi ina vituko [emoji16][emoji16]
We ndo mjinga, dunia ya utandawazi hii we unaongea utopolo huo.acha kujitoa ufaham.Ezekiel kamwaga atatoa habari za timu ipo rabat,halaf yeye yupo dar?Au yeye ni mganga wa kienyej anaotea?
Mmmmmmm! Upo Dunia ipi wewe?acha kujitoa ufaham.Ezekiel kamwaga atatoa habari za timu ipo rabat,halaf yeye yupo dar?Au yeye ni mganga wa kienyej anaotea?