OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini.
Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la utambulisho wa wachezaji wake huku wakiwa tayari kambini. Zoezi la usajili lilikuwa siri sasa mwandishi ulitaka kuja kujua siri za timu na siri za kambi?
Mkitaka kujua habari za Simba nendeni website yake,page za mitandao au mwiteni Ezekiel Kamwaga aje awape habari