Mwanaume 45+

Mi acha nikae nyuma tu kama mkia......nimecheleewa siti za kwa dereva.
 
Je mke 28 mme 35 madame?
 
Je mke 28 mme 35 madame?

hapo sawa! nataman niungekuwa na mume wa aina hyo kwanza hata unahis kbs nipo na mtu mzima !lazima akiongea must umskilizie labda km atakuwa hana ufahamu sana wa kimaisha!yaan hapo sawa sawaaa kbs!hawa mmepishana nao semester 2chuoni arghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh hakuna heshima!
 
kuna risk kubwa, hlf kwa nn 45 plus maana kwa nchi daraja la tatu life expectancy ni ndogo mno inawezekana una motive zingine au ww mmachame au unataka kuwa mjane mapema au tayari mjane unataka kuwa mjane square.
still naona hauko serious.
 
hahahahhahaahahahahaha nimecheka km mazuri hahaah!
 
Nye.ge za mwisho mwisho zinaanziaga umri huo wa second half .....37-45...18-34 first half .....37-45 second half....pabaya hapo maana ndio kipindi cha bhabhine....sema hao ni watunza siri ndicho wanachoweza ila ni walabuaji wazuri sana .....hao underdogs wenyewe mke wanaona ni demu tu .....hana maana yoyote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…