Mwanaume, acha tabia ya kutembea na Wake za watu.

Mwanaume, acha tabia ya kutembea na Wake za watu.

Kuna umri ukifikia hata kumfuatilia sana mwana ndoa mwezio unakuwa huna sababu ya majukumu na changamoto nyingi pamoja na kuaminiana.

Kuchungana chungana na kufuatiliana ni mambo ya muda tu, trust me.
 
Wanaume,

Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone.

Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae.

Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na Attention.

Huko unakoenda UTAULIWA, UTALIWA, UTAPEWA KILEMA CHA MAISHA, UTAFUNGWA, UTAFILISIKA nk.

Respect yourself.
Kutembea na mke wa mtu kweli siyo vizuri kama unajua kuwa huyo nimke wa mtu
Lakini kuna Wanawake wengine hawasemi ukweli wanajifanya wako single Ila utakuja kujiua siku yamekufika
Je hapo uta kaaje mbali nao
 
[emoji817] ni kweli. Sijui kama kuna mwanaume angeweza pitia majaribu anayonipitisha mke wa mtu kazini. Huu ni mwaka wa tatu ametangaza ofisini kote Mimi ni bwana ake na haoni shida kumwambia mtu yoyote kuwa ananipenda. Tukitokea kuwa wawili sehemu atanitekenya na kuanza fujo mpaka nichague kuondoka. Cha ajabu umri wake Ni mkubwa kuliko mm.
 
Wanaume,

Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone.

Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae.

Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na Attention.

Huko unakoenda UTAULIWA, UTALIWA, UTAPEWA KILEMA CHA MAISHA, UTAFUNGWA, UTAFILISIKA nk.

Respect yourself.
Ushauri murua kabisa. Ila tatizo genye zikisha panda kichwani akili inapotea. Kifuatacho ni majuto.

Kama unadawa ya kusaidia hili lisitojee tafadhali share.
 
Wakati mwingine tunajionaga miamba sana kuchakata papuchi za wake za watu, ila hii karma huwa inarudi hovyo sana, ni bora kujiepusha na maswahibu.. kingine hamna tuzo za kutembea na wake za watu..
Sio kila kitu ni karma,acha kukariri mkuu,kuna watu wamepata Mali kwa kuua na kumwaga damu za watu lakini Hadi wanazeeka na kufa vifo vya kawaida tu bila ya hiyo karama sijui karma kuwakumba!!

Kuna jirani yangu miaka ya nyuma alimpiga baba yake, cha ajabu mzee wake alitangulia na yeye akafuata baada ya miaka kama 20 toka baba yake ake kukufa ,na alikufa bila kupigwa na mtoto wake hata mmoja.
 
First time- (aliona chati zetu kwenye sim ya mke wake)-sikujua kama ni mke wa mtu baada kupigiwa simu na mme wake na kujitambulisha kuwa ni mke wake na kuanza kulia na kuniomba niachane naye ningefahamu kama mke wa mtu nisingeweza hata kumgusa na yeye hakunambia yeye alinambia kuwa yupo tu kwa mama yake na hayupo ndani ya ndoa,

Nilisikitika sana- mwanaume mwenzangu kunililia kama vilee, sometimes mtu haujui kama ni mke wa mtu na anaweza akakuponza kweli sio masikhara

Baada ya hapo - alikuwa akinitafuta na mimi nilikuwa nilimwambia sijajisikia raha mmeo aliponipigia sim na kuniomba niachane na wewe ila hakuonyesha kama anajali chochote kuhusu mme wake

Pengine- walikuwa na mfarakano katika ndoa na ni kisichana kidogo tu cha miaka 21-24 kazuri sanaa yaani mpaka leo kananitafutaga whatsapp but siwezi sababisha mwanaume mwenzangu amwage machozi coz naamini kwenye karma- yanaweza yakanitokea na mimi nikija kuoa

Nilitumia nguvu kubwa sana kuachana nayeye na nashukuru nimeweza- ALHAMDULLILLAH
 
Sio kila kitu ni karma,acha kukariri mkuu,kuna watu wamepata Mali kwa kuua na kumwaga damu za watu lakini Hadi wanazeeka na kufa vifo vya kawaida tu bila ya hiyo karama sijui karma kuwakumba!!

Kuna jirani yangu miaka ya nyuma alimpiga baba yake, cha ajabu mzee wake alitangulia na yeye akafuata baada ya miaka kama 20 toka baba yake ake kukufa ,na alikufa bila kupigwa na mtoto wake hata mmoja.

Sasa hivi huyo Jirani yako alipo anajibu kesi yake mbele ya Malaika wa zamu
kibaya zaidi kizimbani yupo yeye na mzee wake
Alafu tukio la 20 years back unarudishiwa kumbu kumbu
Kama vile ndiyo muda huo umetoka kulitenda!

Fikiria unaanza kumuomba mzee msamaha
alafu na yeye anakujibu
Mwanangu mie sina tatizo na wewe kabisa
wewe malizana tu na Malaika.
wakati huo Malaika hata hakutazami usoni.

Laana zipo na Mibaraka pia ipo kutoka kwa wazazi wetu
tuishi nao vizuri na kwa upendo mkubwa.
Siku moja utakuwa mzazi hapo ndipo utaona uchungu wa mzazi kwa mwanae.
Muagize akuletee hata glass ya maji ya kunywa
Alafu akatae kwa Jeuri na kiburi!

Utasikia tumbo likikukata!
Tuepuke Laana kutoka kwa wazee wetu!
 
Back
Top Bottom