Mwanaume acha uoga wa maisha

CR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoa

wewe mchimba chumvi wa Vikindu ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa ?
Kuoa Ni Upumbavu, Tafuta Pesa mzee
Waaache wake zao tuwagonge alafu maumivu wasikilizie kichwani 🤣🤣🤣🤣 watu hawajuagi kutofautisha kati ya mwanamke wa kuolewa na mwanamke wa kudangia
 
CR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoa

wewe mchimba chumvi wa Vikindu ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa ?
Kuoa Ni Upumbavu, Tafuta Pesa mzee
Anaishi na mwanamke Yuko kwenye mahusiano Kuna siku hao watu walikuambia wako single
 
Ndoa na kuwa na familia ni kwa watu majasiri ambao sio waogoa wa maisha, Kuna maana gani ya kutafuta ela alafu huna mke wala familia huo ni uzwazwa
 
Kweli lakini. Na mara nyingi vya humu sio vya kubeba vizima vizima bila kuchanganya na akili yako kwani uhalisia upo ila sio kwa asilimia 100.

Si ajabu hao wanaohamasisha humu kutokuoa katika maisha ya kawaida ni kinyume kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasoma comments tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama umeoa achana wadanganyane waliniona sifai na Kwa Sasa chibaba ameshakuja kunirescue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…