Mwanaume acha uoga wa maisha

Mwanaume acha uoga wa maisha

CR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoa

wewe mchimba chumvi wa Vikindu ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa ?
Kuoa Ni Upumbavu, Tafuta Pesa mzee
Waaache wake zao tuwagonge alafu maumivu wasikilizie kichwani 🤣🤣🤣🤣 watu hawajuagi kutofautisha kati ya mwanamke wa kuolewa na mwanamke wa kudangia
 
CR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoa

wewe mchimba chumvi wa Vikindu ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa ?
Kuoa Ni Upumbavu, Tafuta Pesa mzee
Anaishi na mwanamke Yuko kwenye mahusiano Kuna siku hao watu walikuambia wako single
 
Maelezo yote hayo nikajua utaongelea wale waoga wa kupambana kutafuta pesa, kumbe unawaponda wanaogoma kuoa? Mtego huo tumeushitukia[emoji16][emoji23].

Hakuna mtu hapendi kuoa, ila ushenzi, uhuni, ujambazi na usariti wa wanawake ndio unaofanya vijana wakatae ndoa, hizo ndoa zimekua jambo rahisi sana kwa wanawake ndiomaana hawaziheshimu, sasa wanaume waliobahatika kufunguka akili wakaona kulko kujiingiza mitegoni mwa ndoa ni bora wafanye mambo mengine, na sio uoga kama mnavyosema ninyi.

Ushauri[emoji117]..Kijana kataa ndoa za mchongo kwa nguvu zako zote na akili zako zote, na hayo mengine yoote utazidishiwa, ikiwepo, pesa, afya ya akili na mwili, uhai na maisha marefu, baraka nyingi.

Ndoa si kwa kila mtu, hata hivyo hakuna ulazima wa kuoa, hayo mawazo sijui mnayapata wapi kuwa lazma kila mtu aoe ama kuolewa.

Wanaokataa ndoa wako timamu msiwakosoe bali wahojini mujue sababu zao.

Ndoa ni taasisi inayokwenda kujifia kifo cha mende kama wafuasi wa hizo ndoa hawatobadiri mindset za ukisasa, uzungu na uhuni uhuni wa kipumbavu.
Ndoa na kuwa na familia ni kwa watu majasiri ambao sio waogoa wa maisha, Kuna maana gani ya kutafuta ela alafu huna mke wala familia huo ni uzwazwa
 
Kweli lakini. Na mara nyingi vya humu sio vya kubeba vizima vizima bila kuchanganya na akili yako kwani uhalisia upo ila sio kwa asilimia 100.

Si ajabu hao wanaohamasisha humu kutokuoa katika maisha ya kawaida ni kinyume kabisa.
 
JF ni escape zone ya wengi. Hapa ni kama parallel universe ya watu kuishi matamanio yao kinadharia.

Sasa mtu maisha yamekupiga kiuhalisia ndio ushindwe kuvimba virtually pia.

Kuna baadhi ya watu humu thamani zao pekee zipo JF. Hawa ndio wale kutwa kuzua ugomvi na watu, kutwa kuanzisha thread zisizo na mantiki. Ile yote ni kukimbia uhalisia wa maisha yao.
Unaweza kuta mtu mmoja ana ID hata 5. Anaanzisha uzi, anachangia mwenyewe, anajitukana mwenyewe na kujisifu mwenyewe.

Kubwa na la muhimu kwa JF, ukiona linakufaa lichukue, ukiona linachekesha cheka la kukera lipuuze ila usichukulie watu/mada za hapa seriously. Unaweza kuta shemeji yako unaemlaza sebuleni na kumtuma akufutie viatu huku anakuita mpuuzi uliefeli maisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasoma comments tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama umeoa achana wadanganyane waliniona sifai na Kwa Sasa chibaba ameshakuja kunirescue
 
Back
Top Bottom