Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Ndoa is not for everyone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waaache wake zao tuwagonge alafu maumivu wasikilizie kichwani 🤣🤣🤣🤣 watu hawajuagi kutofautisha kati ya mwanamke wa kuolewa na mwanamke wa kudangiaCR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoa
wewe mchimba chumvi wa Vikindu ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa ?
Kuoa Ni Upumbavu, Tafuta Pesa mzee
Anaishi na mwanamke Yuko kwenye mahusiano Kuna siku hao watu walikuambia wako singleCR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoa
wewe mchimba chumvi wa Vikindu ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa ?
Kuoa Ni Upumbavu, Tafuta Pesa mzee
Hii ni forum natumia uhuru wanguPunguza makasiro na usiwapangie watu maisha.....
Unataka wakwambie ukweli ukiwa kama nani?,una nini?,na utawaoffer kipi?
Wewe kama ukweli umekupa maisha,kuna watu faking imewapa maisha
Ndoa na kuwa na familia ni kwa watu majasiri ambao sio waogoa wa maisha, Kuna maana gani ya kutafuta ela alafu huna mke wala familia huo ni uzwazwaMaelezo yote hayo nikajua utaongelea wale waoga wa kupambana kutafuta pesa, kumbe unawaponda wanaogoma kuoa? Mtego huo tumeushitukia[emoji16][emoji23].
Hakuna mtu hapendi kuoa, ila ushenzi, uhuni, ujambazi na usariti wa wanawake ndio unaofanya vijana wakatae ndoa, hizo ndoa zimekua jambo rahisi sana kwa wanawake ndiomaana hawaziheshimu, sasa wanaume waliobahatika kufunguka akili wakaona kulko kujiingiza mitegoni mwa ndoa ni bora wafanye mambo mengine, na sio uoga kama mnavyosema ninyi.
Ushauri[emoji117]..Kijana kataa ndoa za mchongo kwa nguvu zako zote na akili zako zote, na hayo mengine yoote utazidishiwa, ikiwepo, pesa, afya ya akili na mwili, uhai na maisha marefu, baraka nyingi.
Ndoa si kwa kila mtu, hata hivyo hakuna ulazima wa kuoa, hayo mawazo sijui mnayapata wapi kuwa lazma kila mtu aoe ama kuolewa.
Wanaokataa ndoa wako timamu msiwakosoe bali wahojini mujue sababu zao.
Ndoa ni taasisi inayokwenda kujifia kifo cha mende kama wafuasi wa hizo ndoa hawatobadiri mindset za ukisasa, uzungu na uhuni uhuni wa kipumbavu.
Pesa ndiyo kila kitu siyo ndoa, ndiyo maana CR7 hajaoa, anaishi na hawaraAnaishi na mwanamke Yuko kwenye mahusiano Kuna siku hao watu walikuambia wako single
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF ni escape zone ya wengi. Hapa ni kama parallel universe ya watu kuishi matamanio yao kinadharia.
Sasa mtu maisha yamekupiga kiuhalisia ndio ushindwe kuvimba virtually pia.
Kuna baadhi ya watu humu thamani zao pekee zipo JF. Hawa ndio wale kutwa kuzua ugomvi na watu, kutwa kuanzisha thread zisizo na mantiki. Ile yote ni kukimbia uhalisia wa maisha yao.
Unaweza kuta mtu mmoja ana ID hata 5. Anaanzisha uzi, anachangia mwenyewe, anajitukana mwenyewe na kujisifu mwenyewe.
Kubwa na la muhimu kwa JF, ukiona linakufaa lichukue, ukiona linachekesha cheka la kukera lipuuze ila usichukulie watu/mada za hapa seriously. Unaweza kuta shemeji yako unaemlaza sebuleni na kumtuma akufutie viatu huku anakuita mpuuzi uliefeli maisha.
NakaziaWasipooa wataolewa!
Niko paleee 👉👉
DUNIA HADAA.......
Unavyosema pesa ndo kila ni pesa kuanzia sh ngapi ????Pesa ndiyo kila kitu siyo ndoa, ndiyo maana CR7 hajaoa, anaishi na hawara
narudia tena hajaoa
ME anayejielewa HAOI
Muhimu Pesa mzeeUnavyosema pesa ndo kila ni pesa kuanzia sh ngapi ????
Na sio lazima pia.Ndoa is not for everyone
Hata elfu 1 ni pesa unajua hiloMuhimu Pesa mzee
Mahusiano ni kwa watu wote ambao ni rijaliMsg nzuri sana hiii
Baambie baelewe