Mwanaume acha uoga wa maisha

Congratulations... umewapa za uso vijana wengi wa kibongo ambao ni waoga sana kwenye maisha kulinganisha na jirani zetu wa africa mashariki. Hawana uthubutu kabisa kazi kulia lia na kulalamika kwa kila kitu na kuwadiss wachakarikaji waliopo South Africa na ughaibuni. Safi sana kwa haya makavu live.
 
Vitu gani vya msingi mtu asipo kuwa kwenye ndoa ana vikosa ?
 
Vijana jilipueni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…