Mwanaume acha uoga wa maisha

πŸ’―πŸ€

KIJANA KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI

AFYA YA AKILI NI BORA KULIKO NDOA
Kuna watu wako bize na wanawake ambao sio level zao wakiwakosa wanaishia kumaliza makasiriko Yao kwa kuponda ndoa au mahusiano, kwenye maisha tafuta wanawake ambao ni level zako, achana na wale ambao sio level zako utaumia sana, mwanamke ambaye sio level zako mtaishia kushindana kila siku na ni ngumu kukiheshimu. Ni ngumu sana kukuta mtu ana-deal na wanawake wa level zake hutakaa uwe na haya makasiriko
 
Kusoma thread ya mtu ety anaiponda ndoa na ukachukulia serious ety kwamba anawapotosha vijana,,ni ujinga na kukosa akili narudia tena ni ujinga na kukosa akili,,,wengi humu wanajielewa na wanajua wanafanya nini that's why almost wote humu tuna fake ID,,,Ku-complain juu ya sijui upotoshwaji wa ndoa ni utoto wa hali ya juu,,haohao wanaoiponda ndoa una uhakika gani kuwa hawajaoa??,,,ikumbukwe pia kila mtu ana maamuzi yake juu ya maisha yake,,,huwezi mpangia mtu.
 
Mtoto anakua akimuona baba Leo anamahusiano na mwanamke huyu kesho mwingine, au mama kutwa kubailisha Wanaume ni ngumu sana kuja kuwa na heshima, assume hakuna ndoa lazima kwenye hio jamii kuwe ni uwanja wa vurugu
 
Hii ni forum na mim natumia haki yangu nimejaibu kukumbusha, kama mtu anaweza amka na kuandika Uzi wa kuiponda ndoa Kuna ajabu gani mim kuanzisha Uzi wa kuisifia ndoa
 
Hii ni forum na mim natumia haki yangu nimejaibu kukumbusha, kama mtu anaweza amka na kuandika Uzi wa kuiponda ndoa Kuna ajabu gani mim kuanzisha Uzi wa kuisifia ndoa
Bila shaka umesoma comments za wengi,,anyway endeleeni kufanya competition.
 
Wengine wanapotosha wenzao ndoa kumbe ni mashoga humu ila sabbu hatujuani basi watu wanatembea na upepo. Kuna wengine wanaiponda ila sabbu yake ilivunjika au ina mgogoro basi anahisi wanaume wote wataoa mtu km mkewe.. lazima ifike muda watu waache kupotoshana ujinga. Mtu anaeshupalia hamna kuoa napata mashaka nae sana huwenda akawa UPINDE
 
Mbona Mimi mzee wangu ana miaka 70 na Hana mke zaidi ya miaka 50 iliyopita Anaishi mwenyewe yupo fit anakimbia Kama mbape
Wewe nioneshe mzee mwenye mke wa miaka 70 anayweza kukimbia Kama mbape
 
Mtoa Mada ni mjinga Sana Mimi baba yangu yupo , na miaka 70 hajaoa na ameishi Maisha yake yote sijawai kumuona na Mwanamke zaidi ya miaka 50 na Hana stress katusomesha na kajenga nyumba kazaa na Hadi Muda huu nakaa naye Mimi nafata nyayo zake
 
Mbona Mimi mzee wangu ana miaka 70 na Hana mke zaidi ya miaka 50 iliyopita Anaishi mwenyewe yupo fit anakimbia Kama mbape
Wewe nioneshe mzee mwenye mke wa miaka 70 anayweza kukimbia Kama mbape
Watu kama hao ni wangapi wanaweza ishi hivyo ndo swali la kijiuliza, mwanaume mwenye nguvu za kiume 100 πŸ’― hawez ishi kipindi kirefu hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…