Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
- Thread starter
-
- #101
in short ni muhuni na Malaya, ni hatari sana Malaya na wahuni kuwa ndo mifano ya kuiga kwa watoto wetuMtoa Mada ni mjinga Sana Mimi baba yangu yupo , na miaka 70 hajaoa na ameishi Maisha yake yote sijawai kumuona na Mwanamke zaidi ya miaka 50 na Hana stress katusomesha na kajenga nyumba kazaa na Hadi Muda huu nakaa naye Mimi nafata nyayo zake
Nguvu za kiume wewe zimekusaidia Nini?in short ni muhuni na Malaya, ni hatari sana Malaya na wahuni kuwa ndo mifano ya kuiga kwa watoto wetu
Hivi akiugua ugonjwa wa kutakiwa kuogeshwa utamuogesha wewe.Mbona Mimi mzee wangu ana miaka 70 na Hana mke zaidi ya miaka 50 iliyopita Anaishi mwenyewe yupo fit anakimbia Kama mbape
Wewe nioneshe mzee mwenye mke wa miaka 70 anayweza kukimbia Kama mbape
Nguvu za kiume Zina faida gani?Watu kama hao ni wangapi wanaweza ishi hivyo ndo swali la kijiuliza, mwanaume mwenye nguvu za kiume 100 💯 hawez ishi kipindi kirefu hivyo
Mbona mwaka juzi kapata Ajari alikaa mwezi mzima anaogeshwa kila kitu , sisi tunaishi Kama wapemba tunakaa na mzee wetu na nilimuuguza Mimi mwenyewe akapona na sahiv yupo fit 100% anakimbia Kama mbapeHivi akiugua ugonjwa wa kutakiwa kuogeshwa utamuogesha wewe.
Kuna ndugu yangu mama yake lenzi ya jicho imebinuka na kwenA hospital wakamuambia asubiri kama wiki 2 hivi.kuoga mwenyewe hawezi anaona kila kitu juu chini.kama ndio uko nae hivyo unafanyeje
Zingekua hazina maana we ungezaliwa au baba yako angezaliwa, au wewe ni shoga kwa sababu huwez uliza swali kama hili la kijingaNguvu za kiume Zina faida gani?
Sio kila mtu anaishi kama wapembaMbona mwaka juzi kapata Ajari alikaa mwezi mzima anaogeshwa kila kitu , sisi tunaishi Kama wapemba tunakaa na mzee wetu na nilimuuguza Mimi mwenyewe akapona na sahiv yupo fit 100% anakimbia Kama mbape
kwa sisi wakristo ndoa ni sakrament ni lazima siku ya mwisho mzee wako ana mashtaka ya kujibu sio jambo la kujivuniaMtoa Mada ni mjinga Sana Mimi baba yangu yupo , na miaka 70 hajaoa na ameishi Maisha yake yote sijawai kumuona na Mwanamke zaidi ya miaka 50 na Hana stress katusomesha na kajenga nyumba kazaa na Hadi Muda huu nakaa naye Mimi nafata nyayo zake
Wana kesi za kujibu kwa nani ?, Una ufahamu wowote kuhusu swala la useja lililo zungumziwa na Paulo ?, Una ufahamu wowote kuhusu uwepo wa maseja[ Mapadre & watawa wa kike ] katika ukristo ? Toka lini ukristo ume agiza kuwa ndoa ni takwa la lazima kwa waamini wake ?kwa sisi wakristo ndoa ni sakrament ni lazima siku ya mwisho mzee wako ana mashtaka ya kujibu sio jambo la kujivunia
Umemalizaaaaa haswaaa.Nikila tunda kimasihara inatosha
Ndoa ni utapelWana mahusiano yanayoeleweka kwani wako single
Teseka na ndoa yako wasiotaka kuowa waache hukulazimishwa kuowaa kenge maji wwWewe ni shoga, unajua watu wakioa utakosa wajinga wa kukunyandua!
Kuna sehemu umeshikiwa fimbo ili uoeTeseka na ndoa yako wasiotaka kuowa waache hukulazimishwa kuowaa kenge maji ww