Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio yako but lazima ujikane sana,
Kuna mzee mmoja aliwahi niambiaga kitambo kuwa kadri unavyosex ndivyo unavyopoteza nguvu za mwili na akili sikumuelewa but now nina miezi mitatu sijammwagia mtu ndani najiona ni mtu mwenye nguvu kimwili na kiakili japo si vyema kuishi mwenyewe kama Mungu alivyotahadharisha lakini kama unaweza ishi hivyo, utanishukuru baadae.
Women are beautiful but are too dangerous Creatures on earth.