Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usipige we kaa uangalie Beijing walivyokomaa sasa hivi wanaume ndo mnaenda leba!
Kiru
Hata ya ukweli ipo, na ilitrend miezi ya mwanzoni tu mwaka huu pale jamaa moja lilipofanikiwa kubadilishwa jinsia na madaktari!Wabongo bana, hamuoni Hiyo ni movie scene? Bila hata kuhakiki source tayari watu wamesha - conclude!! Elimu elimu elimu
Eti mijamaa inafurahia kukungutwa mguu wa mtoto mchanga huku inang'eneka kwa vilio vya raha! Haijielewi kweli, lakini ndio matokeo ya kumuabudu lucifer hayo !Watu wengine wana moyo,kwa jinsi ninavyoogopa kuwa mwanamke halafu kuna mwanaume anafikia mpaka kutamani kuzaa,hapa kweli ndio utajua binadamu tuko tofauti sana.Yaani unaingia kabisa chumbani unaambiwa haya vua sasa nikuingize hiyo mimba,walahi tutachinjana...
Karibu siku zinavyozidi kwenda, dunia I napata uvumbuzi mwingi sana
Amepatikana mwanaume aliezaa huko nchi ni marekani
Huyu hapa kwenye video muone
Si mnasema wanaume mnaweza kazi za kike
Haya sasa zaeni basi