Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Watu wengine wana moyo,kwa jinsi ninavyoogopa kuwa mwanamke halafu kuna mwanaume anafikia mpaka kutamani kuzaa,hapa kweli ndio utajua binadamu tuko tofauti sana.Yaani unaingia kabisa chumbani unaambiwa haya vua sasa nikuingize hiyo mimba,walahi tutachinjana...
 
Eti mijamaa inafurahia kukungutwa mguu wa mtoto mchanga huku inang'eneka kwa vilio vya raha! Haijielewi kweli, lakini ndio matokeo ya kumuabudu lucifer hayo !
 
Back
Top Bottom