Mwanaume akikataa mimba au kukutelekezea mtoto, usitumie majina yake Kwa mtoto wako

Utakuwa na jinsia mbili wewe!
 
Wanawake ni watata sana kwenye hili suala, na baadae wao hujifanya ndio victims. Hivi wewe unachukuaje mimba bila ya mwanaume kuitaka? halafu una expect nini? wanafanya mambo ya ovyo sana halafu wanaishia kutilisha huruma kwa jamii, DRAMA QUEENS
 
Unaweza kufanya hivyo kwa kumuandikisha surname nyingine.

Then mbeleni baba yake akawa tajiri mkubwa then akafariki.

Kwenye mirathi mtoto akakosa haki zake na kukulaumu mama yake kwa ulichofanya
Kutumia surname ya babake haipi haki ya moja kwa moja kwenye urithi.
 
Sasa usipoandika jina la baba kwenye kadi ya mtoto inafuta ukweli kuwa ile ni mbegu yake?!

Hizo jazba za kitoto. Lazima mtoto amjue baba yake hata kama hawajibiki.

Kadi zenyewe wanakuwa nazo kutegemeana na idadi ya wababa mtoto alopewa na mama yake ambako kote anapokea ruzuku tangu wakati wa ujauzito
 
Na hiyo yote ni kwasababu mzee wako alikulea,hakukutelekeza. Vip Kama ungekuwa umetelekezwa bado ungenena uliyoyanena
 
Wanawake ni watata sana kwenye hili suala, na baadae wao hujifanya ndio victims. Hivi wewe unachukuaje mimba bila ya mwanaume kuitaka? halafu una expect nini? wanafanya mambo ya ovyo sana halafu wanaishia kutilisha huruma kwa jamii, DRAMA QUEENS
Stupid,stop putting blames on one side. Do you the think the act was done by one human???
 
Ninakusupport Sana Heriel hakuna haja ya kumpa mtoto haki ya jina la babayake ilhali huyo babayake amemkataa na sio kumkataa tu Bali amekwepa majukumu ya kumtunza na kumlea Kama mmiliki wake. Na iwe hivyo basi ulichokataa kukimiliki huwezi milikishwa natumai nimeeleweka
 
Swali
kwanini uzini wakati halali ipo?
 
Na hiyo yote ni kwasababu mzee wako alikulea,hakukutelekeza. Vip Kama ungekuwa umetelekezwa bado ungenena uliyoyanena
Mkuu katika kila neno unalolisoma humu kuna mambo mengi ambayo hayataandikwa kulinda privacy ila jua Tu, mzazi kwangu ni zaidi ya urithi wa mali na itabaki hivyo siku zote 🙏🙏
 
Naona umetafakari Sana ulivyokua unampenda alafu umeishia kuzaa nae na ameenda kwa mwingine
 
Ni Haki ya Mtoto Kuwafahamu Wazazi wake wa Ki Bailojia
Kama wewe ulipigwa Mimba ukatelekezwa, Ugomvi wako na Bwanaaako usiulete Kwa Mtoto
 
Ni Haki ya Mtoto Kuwafahamu Wazazi wake wa Ki Bailojia
Kama wewe ulipigwa Mimba ukatelekezwa, Ugomvi wako na Bwanaaako usiulete Kwa Mtoto

Wapi nimesema Sio haki ya mtoto kumfahamu wazazi wake?

Lakini kuhusu jina ni ishu ya umiliki.
Hata wewe ukioa mtoto wa watu, binti anaweza kubadilisha jina la Baba yake na kujiita Ubin wako.

Mwanamke mwenye akili timamu hawezi kumpa mtoto jina la Baba Mpumbavu asiyejielewa
 
Watu wanashindwa kuelewa jina halibadili Damu ya mtu, isipokuwa umiliki.
 
Mwenyezi Mungu anasema katika Quran kuwa

Quran 33:4-5

Mwenyezi Mungu hakumwekea mtu yeyote kuwa ana nyoyo mbili ndani ya mwili wake. Wala hakuwafanya wake zenu - ambao mnawalinganisha migongo yao na migongo ya mama zenu - kuwa ni mama zenu. Wala hakuwafanya watoto wenu wa kupanga kuwa ni wana wenu khasa. Hayo ni maneno ya vinywa vyenu tu. Na Mwenyezi Mungu ndiye anaye sema kweli, naye ndiye anaye ongoa Njia. 4

Waiteni kwa baba zao, maana huo ndio uadilifu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na ikiwa hamwajui baba zao, basi ni ndugu zenu katika Dini, na rafiki zenu. Wala si lawama juu yenu kwa mlivyo kosea. Lakini ipo lawama katika yale ziliyo fanya nyoyo zenu kwa makusudi. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 5

MTOTO AITWE KWA UBINI WA BABA YAKE HATA KAMA UMEMUASILI BADO SIO MTOTO WAKO WA KUMZAA NA HANA HAKI YA KUITWA JINA LAKO

Unaweza kufanya hivyo kwa kumuandikisha surname nyingine.

Then mbeleni baba yake akawa tajiri mkubwa then akafariki.

Kwenye mirathi mtoto akakosa haki zake na kukulaumu mama yake kwa ulichofanya
point
 
Msimlaumu mtoa mada ndio kwanza amemaliza maisha yake ya chuoni hapo chuo kikuu cha daslam.So hajui maisha ni nini?
Sahii kabisa,
Anakua kamkosesha mtoto wake Haki yake ya msingi kwa kuendekeza mihemko[emoji3525]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…