yani mwanamke wa leo huyu anayefanya divorce party, anayetoka kwa mume anaenda kwenye nyumba yake, huyu analipa ada za wanae, aliyekopa ili ajenge hiyo nyumba anayoishi na huyo mume anayemtisha na talaka, huyu mwanamke anayeona wenzie wakiishi maisha bora akiwa mwenyewe kuliko lipokuwa na mume, huyu mwanamke anayeshinda deals, anayeongoza bodi za maamuzi, huyu mwanamke ndo bado kuna mwanaume anamtishia talaka!
Yes atakosa mume huyo anayempa talaka but hatakosa mwanaume in her life.
wapo pia wanaume wanataka wanawake hao hao waliopewa talaka wamalize nao maisha!
EHEHHEHEHHEHHEHEHE so hii dunia wanayoifikiria haipo tena aiseeh!
Days are gone talaka ni kitisho anymore!
Japo ni kipindi kina changamoto yes wanajua, BUT HAKUUUUUUNA MWANAMKE WA LEO ANAYEOGOPA kitu kinaitwa talaka!
Hebu wanaume wa UNLEARN their definition of a Woman kiukweli.
CONTEXTs hairuhusu hata kidogo kuendelea kumtafsiri mwanamke wa nyakati za mama na bibi zao na wanawake dada zao.