Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

Share na wengine wapate kujifunza mkuu
Mwamba kapiga swagger mda mrefu akaona muhusika haeleweki anachekelea ubwabwa tu🤣akaamua kuonesha utulivu na kuupa nafasi muda(miaka mitatu) labda binti ataelewa lkn wapi binti anapaparikia mengine!

Mwamba akabadili gear angani akajaribu kujiweka karibu na binti akamsoma ratiba na kupata baadhi ya tips akaamua kucapitilize mule mule mwisho wa siku akaamua kuweka mpango Kazi!

Akaamua kumsaidia binti kimawazo, kumueleza ukwel wa kimaisha na kumuwezesha kwa kidogo alichojaaliwa mwisho wa siku binti beki hazikabi, akimuona muhuni binti analoa muhuni anafaidi uumbaji wa mwenyezi Mungu.
 
Mwamba kapiga swagger mda mrefu akaona muhusika haeleweki anachekelea ubwabwa tu[emoji1787]akaamua kuonesha utulivu na kuupa nafasi muda(miaka mitatu) labda binti ataelewa lkn wapi binti anapaparikia mengine!

Mwamba akabadili gear angani akajaribu kujiweka karibu na binti akamsoma ratiba na kupata baadhi ya tips akaamua kucapitilize mule mule mwisho wa siku akaamua kuweka mpango Kazi!

Akaamua kumsaidia binti kimawazo, kumueleza ukwel wa kimaisha na kumuwezesha kwa kidogo alichojaaliwa mwisho wa siku binti beki hazikabi, akimuona muhuni binti analoa muhuni anafaidi uumbaji wa mwenyezi Mungu.
historia fupi ya binti siyo, mwamba ni mwamba kweli [emoji23][emoji23]
 
Hello…hello….hello….😍
Hamjambo jamani huku ndani?ninaiman nyote mnaendelea vyema sana🤸‍♀️🤸‍♀️

Sasa bhana Sijui huu ni ushuhuda/elimu/uvumilivu…hebu nyie someni halafu muone inakaa kwenye nini😁

Nisiwapotezee muda jamani mambo ni mengi.

sijui nilibahatika au ni kweli kuwa kuna wanaume wako hivi??Sijui lakini yote kwa yote wacha nililete mezani.
Ninaamini mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake huwa hakosi namna ya kuweza kukupata(hapa nieleweke sio Kwa kulazimisha kumtoa mwanamke Kwa mwanaume mwenzako.hapa ni pindi ukijua hana mtu.ukitumia pesa kumtoa mwanamke Kwa mwanaume …😁😁my friend,kuna siku atapatikana mwenye pesa zaidi nawe utatolewa😃😃.).mapenzi ya kiwaki kishenzi.

Basi bhana ,jamaa aliniimbisha songi muda mrefu kiaina sikuwa nikielewaga akili ilikuwa inawaza wali maharage tu🤣🤣(kiukweli sikumtiliaga maanani kabisa mtongozo wake)siku zikaendaaaaa😁😁…siku moja akaniomba tufanye walking, sikuvunga siku hiyo.

Nikapiga kipensi,tshirt,raba na kofia haooo tukaanza walking mdogo mdogo😁😁akaniambia “u look gud🥰🥰”kichwa kikajaa😁tukaendelea kubadilishana story za hapa na pale(tuko kwenye mazingira ya kuonana kila mara na huyu mwamba alikuwa ni mshkaji kwa muda kama wa miaka mitatu so hiyo walking ilikuwa ni ya kawaida kabsa)

Kati ya story nyingi za kawaida tulizopiga siku hiyo ni pamoja na “mara ya mwisho kucheki afya ni lini”akaniuliza,nikamjibu.Na mimi nikamuuliza,”na wewe lini ilikuwa mara ya mwisho?”akanijibu😁😁

Akaendelea…”kwahiyo nikisema tupime afya sasa hivi uko tayari?”nikamjibu ndio.😁😁kichwa yake mbaya sana huyu mwamba kwahiyo alifikiri nitaogopa🤣🤣

Akaniuliza ratiba yangu ya wiki mbili zijazo,nikamjibu.tukaishia hapo kwenye mazungumzo tukaendelea na walking.

Siku moja ndani ya zile wiki mbili..akaniuliza siku fulani utakuwa wapi?nikamjibu nitakwenda sehemu fulani(anaijua)kwa muda wa siku tatu aksema sawa kila mtu akaendelea na mambo yake😊

Siku ya pili kati ya zile siku tatu akaniambia yuko hiyo sehemu niliyopo amekuja kwa ajili yangu(hapo tayari akili yangu imeshaacha kuwaza wali ndondo😊😊ninamuangalia mwana kwa jicho la tofauti kabisa)
Nimejaribu kufupisha kidogo jamani pamoja na kuruka ruka baadhi ya vitu lakini historia ikabadilika.

Mshkaji bhana baada ya kubadilisha uhusiano wetu wa zamani na kuwa mpya…akanilia bati😁😁😁nakuja kustuka mbona kama nimeliwa bati chakorii mimi😁😁woi nikavunga kiaina lakini dizaini kama nilimuelewa mwana.

Siku hiyo sina hili wala lile…simu ikaita,Chakorii uko wapi?nikamjibu niko sehemu fulani..akasema tukutane sehemu fulani,mie sawa.tukakutana,stori mbili tatu,akaanza,Chakorii sina uwezo wa kukulipa kuwa na wewe kwenye mahusiano,lakini kuna kitu naweza fanya juu yako.mimi ehee…😊

“Kuna biashara ninaifanya naomba baadhi ya wateja wangu nikupatie wewe uwe unaingiza faida ya 350,000 kila mwezi au zaidi hiki ndicho ninachoweza kukifanya kwako”akasema.Nilimshukuru sana aise🙏Ngoja nifupishe

Huyu masta ninamuombea maisha marefu duniani na Mungu azidi kumbariki kila inapoitwa leo.

Japo kwa kuruka ruka hatimae nimemaliza kuandika.💃💃

🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
Sometimes Kuna watu wanafanyika baraka sana,ila omba sana usikutane na vibaka!
 
Mwamba kapiga swagger mda mrefu akaona muhusika haeleweki anachekelea ubwabwa tu🤣akaamua kuonesha utulivu na kuupa nafasi muda(miaka mitatu) labda binti ataelewa lkn wapi binti anapaparikia mengine!

Mwamba akabadili gear angani akajaribu kujiweka karibu na binti akamsoma ratiba na kupata baadhi ya tips akaamua kucapitilize mule mule mwisho wa siku akaamua kuweka mpango Kazi!

Akaamua kumsaidia binti kimawazo, kumueleza ukwel wa kimaisha na kumuwezesha kwa kidogo alichojaaliwa mwisho wa siku binti beki hazikabi, akimuona muhuni binti analoa muhuni anafaidi uumbaji wa mwenyezi Mungu.
Unakichwa mbaya sana😁😁
Baada ya kukulana ndugu mwandishi…akanipotezea kama wiki mbili hivi😔😔baadae karudi na mipango ya biashara na sasa biashara inakua na mapenzi yanakua🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

Mnapenda lugha nyepesi sana nyie wana wa Mungu
 
Back
Top Bottom