Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ya mwanaume tamu unaichukua unaitumia unavyotaka haiumi, ya vicoba sasa machungu ya kupanda hisa na marejesho hamu yote inakata ya matumizi
Ya vicoba ni ya moto nyieee🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani utaiweka mwenyewe kwenye mzunguko,ya baby sasa Perfume ya ZARA🤣🤣🤣
 
na mbona hujanitafuta nikikongoja
 
Wakati huo mwanaume anakuja na mazaga zaga yote hayo uliyotaja

Wewe una nini na nini cha ku-offer?
Ndio maana nakupenda Joanah unajua kubalance shobo 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Ya vicoba ni ya moto nyieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani utaiweka mwenyewe kwenye mzunguko,ya baby sasa Perfume ya ZARA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Acha tu roho juu juu ukikosea hesabu usingizi hupati [emoji23][emoji23]

Pesa ya baby unaenda nayo American nail’s, mara kwa Lulu’s hair ngoja ikate [emoji1787][emoji1787] unamtafuta mtoto Iddy akuweke tips za bei nafuu
 
Mawili wa mazoezi halafu kitambi mh we mwanamke wewe mashart hayo hata malaika hawana😄😄😄😄

Kwa style hii mtaolewa kweli halafu unakuta una degree halafu guns kazi na sura ngumu kama ya babu yako 😄😄😄😄😄😄😄
 
Yaani mtu akae kwenye tumbo la mamaake miezi 9 aje kufanya yote hayo kwa ajili yako? Kuwa serious basi.
 
Nyie si ndio mliosema kwamba sisi " wanaume weuse, warefu, wembamba (dark, tall and handsome) pepo ni ya kwetu [emoji848] hawa wengine liwakute lolote jambo, sio nyie mliosema hivyo?

Wewe tena umekuja na lako, mbona mnatuchanganya jamani..!!?
Kila mtu ana anachopenda hao uliotaja its not my cup of coffee.
 
Badili jina lako liwe Ma ushuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…