Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami.

Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na awe anajiamini. Napenda mwanaume ambaye muda mwingi in public yupo serious. Ila aliwa nami room au home tutaniane na tucheze.

But pia ani treat mimi kama mtoto na pia aniheshimu na kunipenda. Awe muwazi... Mkweli asifiche hisia zake kwangu. Apende watoto na awe msikivu. Asiwe na mwili wa uzembe. Afanye zoezi kidogo atanuke juu akinikumbatia ni feel. Awe msafi asinuke jasho wala kikwapa.

Ajipende na apendeze na kakitambi kidogo ka kuvalia suruali ya kitambaa na shati. Apige mavazi tofauti tofauti. Hapo sasa nitakuwa natamani tu nimwangalie akiwa anafungua mkanda anataka kupanda kitandani tufanye mapenzi. Huwa napenda hicho kipengele... Avue namwangalia.... Kisha arukie kitandani na kuanza nikiss kila sehemu.

Tuvulana twa siku hizi hatuna hizi sifa... Tunakaa kujisifia tu ujinga na tunafikiri wanawake wote wanashida na pesa... Tunalamba lamba tu lips. Mimi mwanaume miaka ya nyuma nilikuwa nampima pia kwenye ulaji wake. Kama anakula kamsosi kama ka mtoto au msichana hata sitotaka kutoka naye out tena. Mi nakula... Na mazoezi nafanya sina kitambi. Chakula kinaenda maeneo yake stahili.

Namtafutia mdogo wangu mwanaume wa maana mwenye sifa hizo. Mi nimeshapata wangu. Umbo lake naye ni namba 8 ya ukweli si ya michongo. Graduate anafanya biashara ana duka la nguo na viatu.
Nakwama wapi Ma Mshuza? 😂

Sifa zote hizo ninazo....

Ila sina mafanikio kabisa katika mahusiano
 
sawa,,, ukiwa tayari usisite kuniambia tutalifanyia kazi mara moja😂😂😂😂,, nimesikitika sana rafiki yangu unapiga nyeto wakati kuna warembo wengi tu humu 😃😃😃😃
Usiseme hivo pulizi 🥺🥺🥺🥺
Kama kweli unasikitika fanya maajabu sasa 😜😜🤸🤸
 
Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami.

Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na awe anajiamini. Napenda mwanaume ambaye muda mwingi in public yupo serious. Ila aliwa nami room au home tutaniane na tucheze.

But pia ani treat mimi kama mtoto na pia aniheshimu na kunipenda. Awe muwazi... Mkweli asifiche hisia zake kwangu. Apende watoto na awe msikivu. Asiwe na mwili wa uzembe. Afanye zoezi kidogo atanuke juu akinikumbatia ni feel. Awe msafi asinuke jasho wala kikwapa.

Ajipende na apendeze na kakitambi kidogo ka kuvalia suruali ya kitambaa na shati. Apige mavazi tofauti tofauti. Hapo sasa nitakuwa natamani tu nimwangalie akiwa anafungua mkanda anataka kupanda kitandani tufanye mapenzi. Huwa napenda hicho kipengele... Avue namwangalia.... Kisha arukie kitandani na kuanza nikiss kila sehemu.

Tuvulana twa siku hizi hatuna hizi sifa... Tunakaa kujisifia tu ujinga na tunafikiri wanawake wote wanashida na pesa... Tunalamba lamba tu lips. Mimi mwanaume miaka ya nyuma nilikuwa nampima pia kwenye ulaji wake. Kama anakula kamsosi kama ka mtoto au msichana hata sitotaka kutoka naye out tena. Mi nakula... Na mazoezi nafanya sina kitambi. Chakula kinaenda maeneo yake stahili.

Namtafutia mdogo wangu mwanaume wa maana mwenye sifa hizo. Mi nimeshapata wangu. Umbo lake naye ni namba 8 ya ukweli si ya michongo. Graduate anafanya biashara ana duka la nguo na viatu.
Umri ukienda utabadilisha ndoto.
 
mimi nivue suruali wewe upo kitandani unaniangalia?

labda kama nimetoka gereji,ila kama n kwa ajili hiyo uliyolenga

ki ukweli sijuagi suruali imetoka saa ngapi wala kitandan nmepanda saa ngapi...
 
yeah vizuri,,huo ndo uanaume sasa na hela uwe unampa mpenz wako hata siku moja moja sio mbaya😊
Kama huyo mwanamke ana roho nzuri, ananipenda, hlf ni mzuri, ntamnunulia hata gari na kumpa ghorofa, kama nina uwezo huo.

Ila hawa binti za farao ninaokutana nao sasa, wakiniomba tsh 1000, itabidi waje kuichukua ghetto ninakokaa, au mahusiano yaishe Leejay49
 
amna bhana🤨 unaweza kuwabadilisha ukitaka
 
Wanawake mko tofauti sana na sisi, sijui mkoje, yaani mna-fantasize kabisa kupewa hela na mwanaume..

mfano eti kama mm ni-fantasize kupewa hela na mke ntakaemuoa, badala ya ku-fantasize akiwa uchi atakuaje, mbona ajabu hii Amehlo Joannah Leejay49
Ndio maana wewe ni Mwanaume sisi ni wanawake....Ila usijali Kuna wanawake wapo wasiopenda kupewa hela wanaopenda mkivua nguo wanafantaiz😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom