Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Hebu kunywa juice mahala unipe bili…..

Kuna vitu havijengi familia, akili kumkichwa, acha yaendelee kuwakuta, hadi siku watakapoweza kuwaspot Wife/husband materials
 
Ukiona mtu yuko na poligoni sio kwamba amependa, bali anakula kwa urefu wa kamba yake
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hajapependa vile ila ni kipato ndo shida ety...
Sema sio mbaya mkuu mi nina kitambaa hapa sijui nani atabadilisha niwazacho
 
Sura ngumu inaashiria atakupeleka moto, sura laini inaashiria atakuwa na huruma wakati anakukaza na pumzi hawana
Ewaaa .
Sio, Mwanume umevaa na viatu mnakutana na mbwa afiki hata magotini, unakimbia unamuacha manzi ako πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
ufanye na mazoezi sasa maana na mwili wa mazoezi unahitajika amesemaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,, me mzima siku zinaenda salama kabisa
Hapo kwa mazoez nipo poa mi shida kuwa serious tuu..
Najaribu ila nashindwa..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Vipi daslam huko wazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…