Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Nakwama wapi Ma Mshuza? ๐Ÿ˜‚

Sifa zote hizo ninazo....

Ila sina mafanikio kabisa katika mahusiano
 
sawa,,, ukiwa tayari usisite kuniambia tutalifanyia kazi mara moja๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,, nimesikitika sana rafiki yangu unapiga nyeto wakati kuna warembo wengi tu humu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Usiseme hivo pulizi ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ
Kama kweli unasikitika fanya maajabu sasa ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿคธ๐Ÿคธ
 
Umri ukienda utabadilisha ndoto.
 
mimi nivue suruali wewe upo kitandani unaniangalia?

labda kama nimetoka gereji,ila kama n kwa ajili hiyo uliyolenga

ki ukweli sijuagi suruali imetoka saa ngapi wala kitandan nmepanda saa ngapi...
 
yeah vizuri,,huo ndo uanaume sasa na hela uwe unampa mpenz wako hata siku moja moja sio mbaya๐Ÿ˜Š
Kama huyo mwanamke ana roho nzuri, ananipenda, hlf ni mzuri, ntamnunulia hata gari na kumpa ghorofa, kama nina uwezo huo.

Ila hawa binti za farao ninaokutana nao sasa, wakiniomba tsh 1000, itabidi waje kuichukua ghetto ninakokaa, au mahusiano yaishe Leejay49
 
amna bhana๐Ÿคจ unaweza kuwabadilisha ukitaka
 
Wanawake mko tofauti sana na sisi, sijui mkoje, yaani mna-fantasize kabisa kupewa hela na mwanaume..

mfano eti kama mm ni-fantasize kupewa hela na mke ntakaemuoa, badala ya ku-fantasize akiwa uchi atakuaje, mbona ajabu hii Amehlo Joannah Leejay49
Ndio maana wewe ni Mwanaume sisi ni wanawake....Ila usijali Kuna wanawake wapo wasiopenda kupewa hela wanaopenda mkivua nguo wanafantaiz๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ