Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
ChaiMaana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.
Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali