Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila iyo kaka ameanz akunifatilia miaka miwili Mpk Sasa ajakata tamaa Yan anawapenz wake lakn Bado akili yake inaniwaza Mimi nashindwa kuelewa nahisi ni tamaa TU ingawa yeye anasema eti ananipenda
Mwanaume hashindwi jambo hasa kama kaamua. Wewe mkubali halafu uone kama vumbi halijatimuka. Hao wengine unajua imechukua muda gani kuwapata. Yamkini ni zaidi ya hata hiyo miaka miwili ya kwako
 
Maana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.

Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
[emoji17][emoji17] Moment of silence for this poor unfortunate soul
 
Kw taarifa Yako mapenzi AYANA formula kijana kuzaa na MTU na kuishi nae sogea tuishi usizani ndo atakua mkewe mwanaume anaweza kumzalisha MTU na kuishi nae sogea tukae miaka Kumi na Bado hamuoi Yani kuzaa na MTU na kuishi nae sio kumpenda acha kukariri wewe wangap wamezaa na wameoshi na wanaume lakn mwanaume anaenda kuona mdada mwingine kabisa tofauti na uyo Alie zaa Nae ayo mambo yapo mbona kila mtu ma Bahar yake kuzaa na MTU sio kwamba ndo atakuuoa Apana wacha kukariri mwanaume anaeeza kuzaa na mwanamke na asimuoe na mapenzi yake yanakua kw mtu mwingine na kuusu ngonjera zake nasikiliza sana TU Mpk ngoma za masikio zipasukiane my waangu

Wewe umeshampenda huyo kaka ndio maana umeleta hiyo mada

Kama ungekuwa hujampenda hata usingehangaika nae wangapi wamekutongoza hujaleta mada zAo

Kama hujampenDa husingesema MPenzi hayana formulA hapo bi dada ushanasa

Kingine usikariri et kwamba sogea tuishi wote huwa hawaolewi

Ushauri wangu achana na huyo mwanaume hupendwiiiiii
Narudia tena hakupendiiiii hupendwiiii

Kwanza angekuwa anakupenda angekuwa kamuacha huyo mwanamke anaeishii nae et miaka miwili anakutongoza na bado anaishi na huyo mdada mpk wamezaaa

Wewe dada amka kwenye huo usingiziiiii unapotezaa muda wako
Mwanaume mwenye nia na wewe hata kama angekuwa anaishi na mwanamke wa sogea tuishii usingejuaaa

Huyo hakupendii

Ubaya ni kuwa unajua kabisa anaishi na mwanamke na wamezaa mtoto bado unajiulizauliza et ananipendaaa una wazimu nini???

Huyo kijana unampendaa ndio maana umeleta story yake narudiaa tena hakupendiii anataka akulale akuachee na hata kama hampendii huyo anaeishii nae usifikiri akimuacha atakuoaaa labda urogeeeeee

Bibieeee mara 10000 ungekuwa hujui kama ana mwanamke wanaishii wotee
But umejuaaa achanaa na huyo mwanaumeee wa watuu
 
We Hanna wewe
Mmmh mbona unanisema mimi Mkuu! Kuna mdada namtaka hii wiki ya tatu toka nianze wasiliana naye. Aseee nina kiwewe kweli kweli na yeye kishajaa tayari ni mwendo wa kutumiana zile Gifs zetu za mambo yetu yale. [emoji28][emoji28]. Nikimla ndiobnitajua nampenda au zilikuwa nyege

Moja mbili tatu nateleza kama nyoka [emoji28]

Hivi ni kwanini lakini mnatufanyia hivyo?
Mnatuaminisha mnatupenda sana na sisi tuna acknowledge kumbe shida yenu ni pussy tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila iyo kaka ameanz akunifatilia miaka miwili Mpk Sasa ajakata tamaa Yan anawapenz wake lakn Bado akili yake inaniwaza Mimi nashindwa kuelewa nahisi ni tamaa TU ingawa yeye anasema eti ananipenda

Hivi unajuaje kama anakuwaza wewe??? Ndio anakwambiaga hivyoo??

Hivi mnapata wapi ujasiri wa kumsemea mtu et akili yake inaniwaza mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi wewe ni mgeni wa wanaume au…

Hizi akili ni zako au ameshakurogaa

Hivi unapata wapi muda wa kuchart na kumsiliza mwanaume ambae anaishi na mwanamke na wamezaa
Toto

Yaani anakusimamisha unasimama kabisaa

Yaani akili yake inakuwaza wewe huku anamkojoza mkewe mpk wanazaaa

Kinachokusumbua unaamini kwamba kwakuwa hajamuoa et anauwezo wa kumuacha akakuoaa wewe[emoji2][emoji2]

Unafikiri kuachana na mtu umeishi nae miaka na miaka mpk mmezalishana familia zinajuana ni rahisii hivyoo
 
Mi mchoyo wa mbususu nae anasema eti atanioa lakn mpk nimepe mbususu NAMI nimegoma kumpa kabisa Kwaio saiv Kila siku ananisifia ooh we dada tabia zako nzur sana

Hivi upo serious kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aiseee ww upo chini ya 24 ama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndo mana waswahili wanasema uslilie uzuri lilia bahat my wangu kuzaa na MTU sio kuolewa watu wanazalishwa na wanaachwa anaolewa mwingine kabisa Kwaio kama mungu kanipangia nitaolewa na kama sio rizki yangu basi Asante kw ushauri

Mdada wa fesibukuu ndani ya jamiiforamuuu new memba[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mdada wa fesibukuu ndani ya jamiiforamuuu new memba[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sio mgeni humu Nipo tangu 2015 SEMA nilikua napenda kusoma TU story za umu sikuwa nimefungua account Kwaio nilikua napitia story zenu google TU sikuamua kufungua account
 
Hivi unajuaje kama anakuwaza wewe??? Ndio anakwambiaga hivyoo??

Hivi mnapata wapi ujasiri wa kumsemea mtu et akili yake inaniwaza mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi wewe ni mgeni wa wanaume au…

Hizi akili ni zako au ameshakurogaa

Hivi unapata wapi muda wa kuchart na kumsiliza mwanaume ambae anaishi na mwanamke na wamezaa
Toto

Yaani anakusimamisha unasimama kabisaa

Yaani akili yake inakuwaza wewe huku anamkojoza mkewe mpk wanazaaa

Kinachokusumbua unaamini kwamba kwakuwa hajamuoa et anauwezo wa kumuacha akakuoaa wewe[emoji2][emoji2]

Unafikiri kuachana na mtu umeishi nae miaka na miaka mpk mmezalishana familia zinajuana ni rahisii hivyoo
Hhahahaa usijifanye unamjua uyo MTU saaana ao wamezalishana mwaka Jana hawana ata miaka mingi kama unavo jimwambafy na kwataariga Yako dini yetu inaruusu kuona wake 4 Kwaio punguza makasiriko apo
 
Hivi unajuaje kama anakuwaza wewe??? Ndio anakwambiaga hivyoo??

Hivi mnapata wapi ujasiri wa kumsemea mtu et akili yake inaniwaza mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi wewe ni mgeni wa wanaume au…

Hizi akili ni zako au ameshakurogaa

Hivi unapata wapi muda wa kuchart na kumsiliza mwanaume ambae anaishi na mwanamke na wamezaa
Toto

Yaani anakusimamisha unasimama kabisaa

Yaani akili yake inakuwaza wewe huku anamkojoza mkewe mpk wanazaaa

Kinachokusumbua unaamini kwamba kwakuwa hajamuoa et anauwezo wa kumuacha akakuoaa wewe[emoji2][emoji2]

Unafikiri kuachana na mtu umeishi nae miaka na miaka mpk mmezalishana familia zinajuana ni rahisii hivyoo
Na kuusu uwezi wa kumuacha kw Hilo ni maamuzi ya mwanaume usizani MTU akizalishwa ndo anaolewa na uyo Alie zaa Nae wangap wamezalishwa na kuachwa anaolewa mwingine kabisa mapenzi AYANA formula na kuusu ujasiri wa kumskikiliza namsikiliza vzr TU Kwan maneno ni sumu yanaua??? Kama maneno yake ayaui na ayanitoi ngozi Wala kunibabua Sasa makasiriko ya nn?? Pia dini yetu ryksa wake 4 Kwaio usijifanye ww mjuaji sana na Cha mwisho akuna mwanaume wa mwanamke Mmoja Cha pekeyako kaburi
 
Wewe umeshampenda huyo kaka ndio maana umeleta hiyo mada

Kama ungekuwa hujampenda hata usingehangaika nae wangapi wamekutongoza hujaleta mada zAo

Kama hujampenDa husingesema MPenzi hayana formulA hapo bi dada ushanasa

Kingine usikariri et kwamba sogea tuishi wote huwa hawaolewi

Ushauri wangu achana na huyo mwanaume hupendwiiiiii
Narudia tena hakupendiiiii hupendwiiii

Kwanza angekuwa anakupenda angekuwa kamuacha huyo mwanamke anaeishii nae et miaka miwili anakutongoza na bado anaishi na huyo mdada mpk wamezaaa

Wewe dada amka kwenye huo usingiziiiii unapotezaa muda wako
Mwanaume mwenye nia na wewe hata kama angekuwa anaishi na mwanamke wa sogea tuishii usingejuaaa

Huyo hakupendii

Ubaya ni kuwa unajua kabisa anaishi na mwanamke na wamezaa mtoto bado unajiulizauliza et ananipendaaa una wazimu nini???

Huyo kijana unampendaa ndio maana umeleta story yake narudiaa tena hakupendiii anataka akulale akuachee na hata kama hampendii huyo anaeishii nae usifikiri akimuacha atakuoaaa labda urogeeeeee

Bibieeee mara 10000 ungekuwa hujui kama ana mwanamke wanaishii wotee
But umejuaaa achanaa na huyo mwanaumeee wa watuu
Acha makasiriko akuna wanaume wa mwanamke Mmoja dini inaruusu wake 4 Kwaio tuliza komwe Hilo nimpende nisimpende ni juu yangu
 
Mmmmmmmmh mbona hajakuoa sasa kama umemzidi mke wake uzurii

Mwambie amuachee mkewe akuoe wewe
Unaonekana una roho mbaya sanaa
Kw taarifa Yako hajaoa amemzalisha TU na hana mkr kisheria yupo huruma kuona yoyote
 
Aiseeee mwanamke una mdomo mchafu nani akufanye mke wewe utaishiaa kufanywaa mchepuko na kuzalishwa na kutelekezwaa tu

Kwa kauli zako unaonekana uyo kaka ameshakulala kakudanganya kwamba atamuacha mke wake akuoe wewe

Pole dada kwa yaliyokusibu halafu hii sio facebook kwamba unaweza kutumia lugha chafu kutukana watu na wakati umekuja kuomba ushauriii jiangalieee ww mwanamkee

Narudia tena una roho mbayaaa tena ya kishetanii unataka uharibu mahusiano ya wenyeww ili uolewe wew na hakuoiii ngooo nipo pale nimekaa labda urogeeeee[emoji38]
 
Back
Top Bottom