Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Chai
 
DJ walete [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unachamba mno uduguu mama Kenzo anasubiri yaani [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] Wacha wee ila mama kenzo simuwez yule mdada loh namfikiriaga Ata simmalizi nabaki nacheka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una hamu ya kuumizwa, kama mtu anakupenda angekua ameshaachana nae, hao wanaishi pamoja ni bado wanapendana, anataka uwe nyumba ndogo
 
Una hamu ya kuumizwa, kama mtu anakupenda angekua ameshaachana nae, hao wanaishi pamoja ni bado wanapendana, anataka uwe nyumba ndogo
Hahahha mi sijamkubali hata mwaka WA pili huu bado hajakata tamaaa
 
Pole limekuchoma kalilie chooni unataka ligi na msukuma ohooo utajinyonga kw kamasi mie sinaga MBA MBA mba nachamba kama mange kimambi we endelea kunichokonoa TU utafurai na roho Yako my Wangu nakojoaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji7]
kwahiyo totoo jana umeshinda hapa ukijikojolea tu 😆
 
Mambo zenu, naimani mko poa! Naombeni mnambie mwanaume akimpenda mwanamke anamtreat vipi yaani nataka kujua mwanaume akiwa in love na mwanamke anakuaje tabia zake??
Wanaume sisi hatupo complicated ni ishara chache tu

1. Anaanza ku care ,vizawadi zawadi n.k.
2. Anapozungumza na wewe huwa anatumia sauti ya upole .
3. Anahakikisha anapokuwa na wewe unakuwa mwenye furaha muda wote mf vichekesho vya hapa na pale , utani mwingi .
4. Haofii kukwambia ukweli
5. Atashare kwa kiwango fulani part ya maisha yake
6. Atakupa muda wake
 
Mambo zenu, naimani mko poa! Naombeni mnambie mwanaume akimpenda mwanamke anamtreat vipi yaani nataka kujua mwanaume akiwa in love na mwanamke anakuaje tabia zake??
Hii inaonyesha either hukupata Mapenzi ya baba au hukulelewa nae kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…