Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

We Hanna wewe
Mmmh mbona unanisema mimi Mkuu! Kuna mdada namtaka hii wiki ya tatu toka nianze wasiliana naye. Aseee nina kiwewe kweli kweli na yeye kishajaa tayari ni mwendo wa kutumiana zile Gifs zetu za mambo yetu yale. [emoji28][emoji28]. Nikimla ndiobnitajua nampenda au zilikuwa nyege




Moja mbili tatu nateleza kama nyoka [emoji28]
 
Muhimu ni ile title ya 'mke',
Ukishamweka ndani akawa na cheti cha ndoa anaanza kuibomoa ndoa. Wanatushinikiza sana tuwaoe sio maeneo ya kazi, mitaani hadi nyumba za ibada ili wapate hiyo title

Kidume lazima u-take your time choose wisely
 
Si umpee tu utakufa kitaliwa na mchwa. Miaka miwili ni ukatali unafanya huo
 
Uwiii sio yule aliyekuwaga Songea teaching college Sasa kahamia Mbeya? Ni muongo yule kaka anaweza kukufanya ukahiona unapendwaa Dunia nzima upo wewe tu kumbe kawapanga kila mkoa.Kimbia
Mtuzoee tu hatujaumbiwa mwanamke mmoja kikubwa jueni tunawapenda
 
Roho mbaya tu hizo umeandika nini jamani na kuna vitoto vya chuo vinapita kusoma mada mbalimbali jf unataka uvi brainwash kwa kupandikiza hizi chuki za uongo
 
Mambo zenu, naimani mko poa! Naombeni mnambie mwanaume akimpenda mwanamke anamtreat vipi yaani nataka kujua mwanaume akiwa in love na mwanamke anakuaje tabia zake??
Una umri gani? Kwani hujawahi kuwa na mahusiano na wanaume au?? Wewe ni kigori?
 
Uko single?
Tukijua hapo tunaweza kukushauri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yan ww
Human righs violation sio kumpiga mwanamke au kumfanyisha kazi mtoto

Hata ukimnyima mwanaume na ukamzungusha kwa miaka miwili huko ni kukiukwa haki za binadamu


Au nasema uwongo nyie wanafunzi wa sheria hapo udizmu ?

Anyway Sahivi wapo Riverside wananunua chips funga wakirudi wepesi watakujibu
 
Tunaweza kukufuatilia miaka zaidi ya hiyo na ukitoa mzigo watu tunayeya
 
[emoji1666][emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…