Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Kuolewa majaliwa ndio sijaolewa sikatai wakati WA mungu ukifika nitaolewa Sina presha Wala Nn wewe pia ujaolewa unatumika sogea tukae pole Yako unachakazwa kabla ya ndoa Bora mie nimetuliza kikojoleo changu
Haaaa mmefika huku [emoji24][emoji24]
 
,[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo hivyo wazuri wote ni wake za watu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wazur wote wake za watu mbn ww huolewi unachakazwa TU mbaya mwenzetu au sio ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo miaka miwili ulikua single unamsikilizia jamaa?
 
Maana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.

Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
Hakuna mwanamume hapo anfuatilia mbususu miaka miwili chizi huyo
 
Maana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.

Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
Jichanganye.
 
Mtu anayekupenda atakupa kipaumbele.......nilifukuzia mrembo 1 kwa 3 akakubali lakini akaniacha wakati ambao dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Muoe mtupunguzie hizi stress
Olewa na Ww mbn huolewi unatumika Bure kabisa shogangu???? Nyani haoni kundule ***** izo stress za ndoa unazo wewe unaegongwa Kila siku bilA ndoa
 
Back
Top Bottom