R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,178
Hii ni maada kwajili ya wanaume ambao tayari wameanza kujipambania na wanajua hali ilivyo, wale ambao bado hamjaanza au mna shughuli zenu ila mnakaa kwa wazazi mpishe kidogo.
Wewe mwanaume ambae ni kichwa cha familia na unajua jinsi upambanaji ulivyo, umepambana kutafuta pesa ya chakula, kujenga, nguo, elimu ya watoto alafu siku mtoto wako wa kiume tena yule wa kwanza kaanza kupambana kivyake pesa anatuma kwa mke wako, wewe unajisikiaje kama kichwa cha familia ? anasema nani kama mama, utajisikiaje ?
SULUHISHO:
Tuma pesa kwa wote na wathamini wote bila upendeleo