Sio kwamba hatupendi kuwatumia baba zetu sema wazee wanazingua mno,ukimtumia tu anaenda kukesha bar,hakai nyumbani anakimbilia kwa mama mdogo ambae hata wewe humjui... Kama anajua kutumia wasapu unaona status anabusiana na kibinti cha miaka 20 halafu wapo namzinga wa konyagi dah!..🤣
Wazee wengine vichwa
Sema nini mzee asikose ya vocha nae akavinjari huku na kule.. kikubwa yule anaejali sana home ndio atatumiwa hela