Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

nilikuwa sibishani mwenyewe, tofauti ni kwamba mimi nabishana kwa facts ila wewe unabishana kimihemko tu
Kwa nini unapenda kujisifu kwa vitu ambavyo huna?

Sijaona facts zozote toka kwako, ila maubishi tu ya kimihemko.
 
Kwa nini unapenda kujisifu kwa vitu ambavyo huna?

Sijaona facts zozote toka kwako, ila maubishi tu ya kimihemko.
Sijajisifu ila ndio uhalisia na bila shaka una inferiority complex, mimi nimekupa takwimu ukazikataa bila sababu za msingi, wewe mpaka sasa hujanipa takwimu zozote
 
Sijajisifu ila ndio uhalisia na bila shaka una inferiority complex, mimi nimekupa takwimu ukazikataa bila sababu za msingi, wewe mpaka sasa hujanipa takwimu zozote
Hivi una undugu na advocate Dr Anna Henga?
 
Hata kuuliza swali pia ni njia mojawapo ya kujibu swali kijana
Ukiitwa wewe ni mbishi uwe unaelewa kwa nini unaitwa hivyo.

Bila shaka mie sio mtu kwanza kukuita mbishi.

We ni mbishi.
 
Ukiitwa wewe ni mbishi uwe unaelewa kwa nini unaitwa hivyo.

Bila shaka mie sio mtu kwanza kukuita mbishi.

We ni mbishi.
Yani uniite mbishi kwa kuamua kutojibu swali la kipuuzi kama hilo, wewe mbona mimi niliyokuambia unijibu hujanijibu, bruh you are a psychopath and you are in denial
 
Technically huu uzi ni invalid kama ukitaka kuwa reasonable. Mwanamke malaya atabaki kuwa malaya hata avae baibui, gagulo, mitandio, joho, kanga na kanzu saba. Na mwanamke anayejitambua na asiye malaya hawezi kuwa malaya hata avae chupi barabarani. (not literally, figuratively.) Ni choice tu na taste ya mavazi.

Vilevile sometimes sio kila mwanamke unayemkuta na mtu ni mke, au unamjali sana au u-mwenye malengo naye. Anaweza kuwa mtu tu unayeruka nae kwa muda, so haijarishi atavaa nini. Who gives a fućk? As long as I get what I want?

Personally siwezi ruhusu mke wangu avae kama hivyo. Kama ni nguo fupi basi haiwezi vuka magoti. Otherwise kutakuwa hakuna maana ya kuvaa nguo, spendi mke wangu atembee nusu uchi na tamaduni zangu haziruhusu mwanamke kuvaa hivyo.

Na sio kwamba naogopa wahuni au wapumbavu fulani watammezea mate. Sababu mtu anayeamua mwanamke aliwe au asiliwe ni mwanamke mwenyewe. Otherwise hao washenzi wamle kilazima.

So it all comes down to: umeoa mwanamke wa aina gani au utaoa mwanamke wa aina gani.
 
Dah!.... noma Sana
 
Do you have the ability to communicate with the dumb?

πŸ˜‚πŸ˜‚
Yeah sometime arguing with a dumb person makes you smarter because you have to figure out how to explain things in a way that a dumb person can understand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…