Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

Kuvaa mapaja Nje ni kupendenza kumbe huko daslam? Nilikuwa sijui
 
Huyo dada Ali Kamwe aliweka shindano katika page yake ya kumtafuta dada wa kuhudhuria nae harusi
Hiyo harusi ilikuwa ni ya kiislam, Ali Kamwe ni muislam swafi kabisa Ila alikiuka misingi ya dini ya kiislam.

Ali alipaswa aweke sharti kwa vazi atakalovaa huyo mdada liendane na misingi ya dini yake.
Hata hivyo sioni ubaya katika hiyo nguo, ni nguo sahihi katika tukio sahihi.
Hiyo nguo sio sahihi katika uislam, hilo ni vazi la wana haramu makafiri.
 
Kwa Dunia ya Sasa kukaa uchi ndyo kupendeza.Matokeo yake wavulana wenye madomo zege hukimbilia mafichoni kwenda kujikamua.Alafu baadaye unashangaa wanawake wanalalamika ukosefu wa nguvu za kiume.
 
Kwa Dunia ya Sasa kukaa uchi ndyo kupendeza.Matokeo yake wavulana wenye madomo zege hukimbilia mafichoni kwenda kujikamua.Alafu baadaye unashangaa wanawake wanalalamika ukosefu wa nguvu za kiume.
Baba swalehe kuna ujumbe wako huku mzee wa puri.
 
Kwa dunia ya sasa mpaka anaonyesha paja ujue kabla hajaolewa huenda alishahesabu wanaume!
 
Mapema sana kubeba matatizo ya watu
 
Ingekuwa ndo hivyo, hiyo nguo isingeuzwa dukani. Wanawake zetu wanavaa mabatiki hayaoneshi kitu ila bado wanapigiwa hesabu na wahuni
Kwa hiyo point yako ni nini hasa hapa? Kwamba aendelee tu kuvaa hizo nguo za nusu uchi kwa sababu eti atakivaa nguo za kujistiri bado wahuni watamtongoza au?
 
Kwa hiyo point yako ni nini hasa hapa? Kwamba aendelee tu kuvaa hizo nguo za nusu uchi kwa sababu eti atakivaa nguo za kujistiri bado wahuni watamtongoza au?
Inakuhusu nini? Nguo yake inanihusu nini? Fanya yako, nifanye yangu na yeye afanye yake. Kam unaweza tembea nchi nzima kamata wanaovaa uchi maana wako wengi
 
Wewe itakua unatokea Katavi!!!
Na kwenye familia yako utakua bado una ule ukoloni wa mwaka 1970.
Mavazi hayana uhusiano wowote na tabia ya mtu Unaweza kua na mwanamke anavaa Satini za Blue mda wote na wahuni wanapiga Miti vibaya sanna!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…