Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Hapo ndiyo shida ina anza watu hawa jielewi
 
Yes, kijana tafuta stable income kwanza pata pesa weka akiba then ndo ufikirie kutafuta mwenza ambae mtapanga chumba pamoja nasisitiza sio aje kwako una kila kitu hiivsio vyema
Mtafute mwenza nunuei kuanzia kijiko adi mashuka mtafurahia
 
jadda na wewe unajuaje kuwa wakishua wako ivyo wote unavyo think?, wapo wakishua wanaojielewa kuliko hawa wa normal, by the way ponit yang ni kuwa kama ambavyo wanawake hawapendi kuolewa na wanaume masikin, basi haga mimi nikiwa na pesa sitaweza kuoa mwanamke masikini. NDEGE wafananao huruka pamoja. TIT FOR TAT.
 
Hahaha mkuu ujue unanichekesha yani hapa siyo suala la kujielewa bali ni suala la mgawanyo wa majukumu, sasa kwa akili ya kawaida tu mwanamke ambaye anatafuta pesa kama wewe, anapata wapi muda wa kutimiza majukumu yake ya nyumbani

Yani point hapo ni kwamba lazima uchague kimoja na upoteze kimoja huwezi kupata vyote, lazima uchague ni either upate mama wa nyumbani anayetimiza majukumu yake lakini umhudumie kiuchumi, au upate mwanamke anayetafuta pesa na humhudumii lakini hatimizi majukumu yake

Tamaduni zetu zilijenga mfumo wa kwamba mwanaume anayetaka kuoa anaangalia tabia kwa mwanamke, na mwanamke anayetaka kuolewa anaangalia uchumi kwa mwanaume, sasa wewe ukisema utaanza kuangalia uchumi kwa mwanamke maana yake wanawake nao waanze kuangalia tabia kwa wanaume kitu ambacho hakiwezekani
 
naongelea kuhus exposure madam juu ya pesa, life style, kuhsu majukum tutaangalia how tutayatekelezaje, suala ni simple sana ikiwa tutapendana really, ninachokataa mimi ni suala la mm kujipata kiuchumi alafu atokee mpuuz mmja aseme et ananipendaaa, NEVER.
HAYA NI MAAMUZI YANGU MKUU.
 
a
mkuu kuna kiswali hapa cha kizushi, ivi goba na mbweni wapi kuzuli , last time nilitembelea goba ila mbwen sijawah kufika, natak nije niwahi viwanja huko nainze ujenzi😀
 
Dooh kwahiyo unaamini hakuna mwanamke atakayeweza kukupenda ukiwa na pesa mkuu
 
a

mkuu kuna kiswali hapa cha kizushi, ivi goba na mbweni wapi kuzuli , last time nilitembelea goba ila mbwen sijawah kufika, natak nije niwahi viwanja huko nainze ujenzi😀
Haha kwanini Umeniuliza hilo swali mkuu 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…