Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Unajua kuijua tabia yako ni jambo moja na kuiacha ni jambo jingine yani wanaume wengi siyo kwamba hawazijui tabia zao mbaya ila kuziacha ndio hawataki, kwa mfano wanaume wasaliti au wanyanyasaji unadhani hawajui kwamba tabia zao ni mbaya wanajua ila hawako tayari kuziacha, kwa sababu wameshaaminishwa kwamba mwanamke ni kiumbe mvumilivu hata umkosee vipi atavumilia tu kwahiyo nao wanaendelea na hizo tabia wakijua kwamba wake zao wataendelea kuwavumilia tu
Hapo ndiyo shida ina anza watu hawa jielewi
 
Yes, kijana tafuta stable income kwanza pata pesa weka akiba then ndo ufikirie kutafuta mwenza ambae mtapanga chumba pamoja nasisitiza sio aje kwako una kila kitu hiivsio vyema
Mtafute mwenza nunuei kuanzia kijiko adi mashuka mtafurahia
 
Haha yani umewaza kuachana kabla hata ya kuwaza hayo maisha yenyewe ya ndoa yatakavyokuwa, imagine unaishi na mwanamke ambaye hawezi kukutii, kukuliwaza, kukufariji, kulea watoto wake, wala kufanya kazi za ndani kwa sababu wote mnatafuta pesa, hivyo naye hana muda kama wewe kwahiyo mtaweka msaidizi

Most corporate women huwa hawawezi kufanya hayo na huku wanaume wengi mnapenda wake zenu wafanye hayo kwahiyo imagine sacrificing all that kwa sababu tu ya kugawana mali, na kwa maisha hayo sijui hata kama utakuwa na ufanisi wa kukufanya utafute pesa nyingi maana muda mwingi utakuwa huna furaha, kwanini mke wako hatimizi majukumu yake anamuachia dada wa kazi hivyo utakosa utulivu wa akili na nafsi katika kutafuta

Kuhusu kuzalisha bila kuoa kisha ukiwa na hamu unatafuta mwanamke wa muda sina la kusema sababu kwa sasa bado kijana huwezi kunielewa, ila fainali uzeeni hao wanawake uliowazalisha watabaki na watoto wao huku wewe ukibaki na hao wanawake wako uliokuwa unawachezea, maana wote tunajua watoto ambao hawajaishi na baba zao namna wanavyokosa ile bond huko ukubwani
jadda na wewe unajuaje kuwa wakishua wako ivyo wote unavyo think?, wapo wakishua wanaojielewa kuliko hawa wa normal, by the way ponit yang ni kuwa kama ambavyo wanawake hawapendi kuolewa na wanaume masikin, basi haga mimi nikiwa na pesa sitaweza kuoa mwanamke masikini. NDEGE wafananao huruka pamoja. TIT FOR TAT.
 
Hahaha mkuu ujue unanichekesha yani hapa siyo suala la kujielewa bali ni suala la mgawanyo wa majukumu, sasa kwa akili ya kawaida tu mwanamke ambaye anatafuta pesa kama wewe, anapata wapi muda wa kutimiza majukumu yake ya nyumbani

Yani point hapo ni kwamba lazima uchague kimoja na upoteze kimoja huwezi kupata vyote, lazima uchague ni either upate mama wa nyumbani anayetimiza majukumu yake lakini umhudumie kiuchumi, au upate mwanamke anayetafuta pesa na humhudumii lakini hatimizi majukumu yake

Tamaduni zetu zilijenga mfumo wa kwamba mwanaume anayetaka kuoa anaangalia tabia kwa mwanamke, na mwanamke anayetaka kuolewa anaangalia uchumi kwa mwanaume, sasa wewe ukisema utaanza kuangalia uchumi kwa mwanamke maana yake wanawake nao waanze kuangalia tabia kwa wanaume kitu ambacho hakiwezekani
 
naongelea kuhus exposure madam juu ya pesa, life style, kuhsu majukum tutaangalia how tutayatekelezaje, suala ni simple sana ikiwa tutapendana really, ninachokataa mimi ni suala la mm kujipata kiuchumi alafu atokee mpuuz mmja aseme et ananipendaaa, NEVER.
HAYA NI MAAMUZI YANGU MKUU.
 
a

mkuu kuna kiswali hapa cha kizushi, ivi goba na mbweni wapi kuzuli , last time nilitembelea goba ila mbwen sijawah kufika, natak nije niwahi viwanja huko nainze ujenzi😀
 
Dooh kwahiyo unaamini hakuna mwanamke atakayeweza kukupenda ukiwa na pesa mkuu
 
a

mkuu kuna kiswali hapa cha kizushi, ivi goba na mbweni wapi kuzuli , last time nilitembelea goba ila mbwen sijawah kufika, natak nije niwahi viwanja huko nainze ujenzi😀
Haha kwanini Umeniuliza hilo swali mkuu 😀😀
 
Back
Top Bottom