😂😂😂😂😂😂Pole sana aisee.Wakaa nyumbani huwa hawajiamini, uwezo wao wa kufikiri huwa mdogo sana, hutegemea kila kitu kutoka kwa wazazi wao, huwa hawaambatani na wake zao.
Ndoa zao huwa ni maigizo tu wala sio halisi.
Kukaa kwa wazazi kunategemea kwanini unakaa nao.
Pia inategemea mna maridhiano gani na wazazi wako.
Ninakaa na wazee wangu vizuri kiheshima na kiupendo na uhuru stahiki,najiamini na nina fikra kubwa huwenda nikakuzidi wewe,nina mali nilizozichuma hata nikisema natoka leo basi ninapo pa kufikia na akiba kubwa tu ya kutosha.
Pia nyumbani wewe utapewa kula na kulala nguo na mahitaji binafsi ni juu yako.
Usitake kunambia utaenda mama kumuomba akupe hela ya kumnunulia mkeo chupi hell noooo.
Usikariri mzee.