Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Wakaa nyumbani huwa hawajiamini, uwezo wao wa kufikiri huwa mdogo sana, hutegemea kila kitu kutoka kwa wazazi wao, huwa hawaambatani na wake zao.

Ndoa zao huwa ni maigizo tu wala sio halisi.
😂😂😂😂😂😂Pole sana aisee.
Kukaa kwa wazazi kunategemea kwanini unakaa nao.
Pia inategemea mna maridhiano gani na wazazi wako.
Ninakaa na wazee wangu vizuri kiheshima na kiupendo na uhuru stahiki,najiamini na nina fikra kubwa huwenda nikakuzidi wewe,nina mali nilizozichuma hata nikisema natoka leo basi ninapo pa kufikia na akiba kubwa tu ya kutosha.
Pia nyumbani wewe utapewa kula na kulala nguo na mahitaji binafsi ni juu yako.
Usitake kunambia utaenda mama kumuomba akupe hela ya kumnunulia mkeo chupi hell noooo.
Usikariri mzee.
 
Haha vipi mtakuwa tayari kukubaliana na sifa walizonazo lakini, kumbukeni hao wa kishua siyo wife material kwa vigezo vyenu ninyi wanaume wa kiafrika, hao mkioa mnaweka pembeni falsafa zenu za mfumo dume vinginevyo ndoa inakufa alfajiri tu
kwakweli bora ivyo tu hata tukiachan freshi kila mtu ana mpunga wake tutagawan tulivyochuma kuliko kuja kugawana na yule ambae sijachuma nae NEVER. Ikishindkana tukauwa tu kama akina ronaldo tunazalisha tunalea watoto wetu basi , n mwendo wa bata , nikiiiskia hamu natafta she napungza then tunatemana 😀.
 
Tunavolalamika kuwa wanawake mnapenda sana pesa, sio kwamba sisi wanaume hatutaki kuwapa wanawake wetu pesa, au tunataka kukimbia majukumu. Tunapenda sana kuwapa hela.

Ishu ni kwamba kibinadamu, mwanaume ukijua mwanamke uliye naye yuko na wewe kwenye mahusiano kwasababu una pesa, na sio kwasababu kakupenda/ kavutiwa na wewe, kiukweli roho inauma, mtu unahisi kama unatumika.

Na wanawake wengi sahivi hawampendi mwanaume, ila wanapenda hela za mwanaume, sasa hapo kutakuwa kuna mahusiano kweli, hapo wanaume tutaacha kulalamika kweli.

Mfano rahisi jiulize siku ukigundua kuwa mumeo aliekuoa hakuwahi kukupenda wala kuvutiwa na wewe, ila alikuoa sababu una pesa, imagine utajihisi vipi Lamomy Jadda
Ni mara chache sana mwanaume inatokea kaoa mwanamke sababu ya pesa zake, kwa upande wangu sijawahi kuwa na mwanaume anayenipendea hivo hata ex wangu valentine nilitaka kumpa zawadi aligoma katakata, badala yake akanipa mimi..!!
( Nilihisi kweli huyu ni mwanaume kamili)

Turudi kwetu wanawake, sisi tunaweza kukupenda wewe pamoja na pesa zako… pesa na mwanamke ni mapacha huwezi kuvitenganisha, sababu mwanamke anhisi amani akiwa na mume lkn na huyo mume akiwa anampa pesa ndio anazidi kuhisi yupo sehemu salama.!!
 
Sasa wewe ndio umeongea point mamyy😘😘😘😘.
In short kutimiza majukumu ndio jambo la msingi.
Uishi kivyako ama kwa wazee ila mambo matatu ni muhimu;
1)Majukumu binafsi ya mwanamke kutimizwa ipasavyo.
2)Uhuru wa mwanamke kuwepo itakikanavyo.
3)Amani iwepo pale muishipo(hususan kwa sisi wakaa nyumbani).

Hata wewe mamy kwa mfano katokea shemela kwao wamezaliwa watatu wa kwanza yeye na mtoto wa kiume pekee ana kazi,anaishi na wazazi nyumba ambayo ina nafasi kiasi ukimka unaweza usikutane na mama/baba mkwe,wakwe wamekupenda.
Je wewe hutoridhia kuolewa naye!?
Mnijengee sanamu sasa 🤣🤣🤣🤣

Mwanaume anayetimiza majukumu na asiye na gubu anatia raha sana’a..!! Huyo nitamlinda kwa gharama yoyote asiniponyoke aiseeee..!!
 
Tunavolalamika kuwa wanawake mnapenda sana pesa, sio kwamba sisi wanaume hatutaki kuwapa wanawake wetu pesa, au tunataka kukimbia majukumu. Tunapenda sana kuwapa hela.

Ishu ni kwamba kibinadamu, mwanaume ukijua mwanamke uliye naye yuko na wewe kwenye mahusiano kwasababu una pesa, na sio kwasababu kakupenda/ kavutiwa na wewe, kiukweli roho inauma, mtu unahisi kama unatumika.

Na wanawake wengi sahivi hawampendi mwanaume, ila wanapenda hela za mwanaume, sasa hapo kutakuwa kuna mahusiano kweli, hapo wanaume tutaacha kulalamika kweli.

Mfano rahisi jiulize siku ukigundua kuwa mumeo aliekuoa hakuwahi kukupenda wala kuvutiwa na wewe, ila alikuoa sababu una pesa, imagine utajihisi vipi Lamomy Jadda
Hivi mnavyojisikia pale wanawake wanapowapendea pesa ndivyo nao wanavyojisikia pale mnapowapendea uzuri wa sura na maumbo, tena bora hata ninyi pesa zinatafutwa ila uzuri ni namna mtu alivyozaliwa hawezi kubadilika ukizingatia pia uzuri nao huwa unaisha, hivyo hii ina maana siku uzuri wa wanawake unapoisha kwa sababu mbalimbali kama kuzaa au kunyonyesha mnaamua kuwasaliti au kuwaacha kabisa hivyo hata wao hujihisi kama vile hawakupendwa walitumika tu
 
Binafsi nampenda Mwanamke kama Mwanamke, anizalie tulee familia. Ninacho pendea kwake ni utu,heshima na upendo. Hakuna kingine kama ni tendo la ndoa hiyo ni kawaida siyo lazima kila saa kila siku
Na hivyo vitu ni kawaida sana mwanamke kuwa navyo, na asipokuwa na hivyo vitu bila shaka utamuacha si ndio, vipi na wewe unataka mwanamke akupendee nini
 
Na hivyo vitu ni kawaida sana mwanamke kuwa navyo, na asipokuwa na hivyo vitu bila shaka utamuacha si ndio, vipi na wewe unataka mwanamke akupendee nini
Anipende kama nilivyo. Siyo awe na mimi aanze kunifananisha na wanaume wengine. Wote tu concentrate kwenye kulea familia na kuangalia mbele na siyo kuangalia watu.
 
Wanaume wanacholalamika ni wanawake wengi siku hizi wanajiuza kwa kigezo cha kuhudumiwa, kumbe ni prostitution in disguise, married and unmarried, ukihitaji ngono ni hela yako tu. Katika tamaduni zetu bibi na mama zetu walienda shambani kulima na waume zao na wanachozalisha kinatumika na familia nzima , hili la wa kisasa kutaka kuhudumiwa kama walemavu ni nothing but prostitution in disguise, mume na mke wote wanatakiwa kuzalisha chakula, mavazi na shelter for the family.
 
kwakweli bora ivyo tu hata tukiachan freshi kila mtu ana mpunga wake tutagawan tulivyochuma kuliko kuja kugawana na yule ambae sijachuma nae NEVER. Ikishindkana tukauwa tu kama akina ronaldo tunazalisha tunalea watoto wetu basi , n mwendo wa bata , nikiiiskia hamu natafta she napungza then tunatemana 😀.
Haha yani umewaza kuachana kabla hata ya kuwaza hayo maisha yenyewe ya ndoa yatakavyokuwa, imagine unaishi na mwanamke ambaye hawezi kukutii, kukuliwaza, kukufariji, kulea watoto wake, wala kufanya kazi za ndani kwa sababu wote mnatafuta pesa, hivyo naye hana muda kama wewe kwahiyo mtaweka msaidizi

Most corporate women huwa hawawezi kufanya hayo na huku wanaume wengi mnapenda wake zenu wafanye hayo kwahiyo imagine sacrificing all that kwa sababu tu ya kugawana mali, na kwa maisha hayo sijui hata kama utakuwa na ufanisi wa kukufanya utafute pesa nyingi maana muda mwingi utakuwa huna furaha, kwanini mke wako hatimizi majukumu yake anamuachia dada wa kazi hivyo utakosa utulivu wa akili na nafsi katika kutafuta

Kuhusu kuzalisha bila kuoa kisha ukiwa na hamu unatafuta mwanamke wa muda sina la kusema sababu kwa sasa bado kijana huwezi kunielewa, ila fainali uzeeni hao wanawake uliowazalisha watabaki na watoto wao huku wewe ukibaki na hao wanawake wako uliokuwa unawachezea, maana wote tunajua watoto ambao hawajaishi na baba zao namna wanavyokosa ile bond huko ukubwani
 
Anipende kama nilivyo. Siyo awe na mimi aanze kunifananisha na wanaume wengine. Wote tu concentrate kwenye kulea familia na kuangalia mbele na siyo kuangalia watu.
Je wewe unaweza kumpenda mwanamke kama alivyo bila kumlinganisha na wengine, kwanini wewe unaangalia sifa fulani kwake ila yeye hutaki aangalie sifa zozote kwako, vipi kama una tabia zako mbaya ambazo zinamkwaza napo bado utataka akupende
 
Nawezaje kuwa na tabia mbaya bila kujua hii ni tabia mbaya na natakiwa kuacha sababu tuu sasa hivi nipo na Mwanamke nina ishi naye na siyo tena bachelor. Unajua ukisha jielewa huna haja ya kuambiwa hicho kibaya acha na hicho kizuri sawa. Ni kujielewa na kuamua tuu
 
Ni mara chache sana mwanaume inatokea kaoa mwanamke sababu ya pesa zake, kwa upande wangu sijawahi kuwa na mwanaume anayenipendea hivo hata ex wangu valentine nilitaka kumpa zawadi aligoma katakata, badala yake akanipa mimi..!!
( Nilihisi kweli huyu ni mwanaume kamili)

Turudi kwetu wanawake, sisi tunaweza kukupenda wewe pamoja na pesa zako… pesa na mwanamke ni mapacha huwezi kuvitenganisha, sababu mwanamke anhisi amani akiwa na mume lkn na huyo mume akiwa anampa pesa ndio anazidi kuhisi yupo sehemu salama.!!
Nakazia ujumbe wako Lamomy
 
Back
Top Bottom