Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Na ukimpenda mtu wala hujari kazi ipi anafanya unachoangalia ni mapenzi bwana bado hajampata wa kumpenda
Wanawake hawa hawa wa Tz na JF ndio wampende mtu bila kujali kazi ipi anafanya? Hebu acha mzaha wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…