Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Nimepitia threads zako zote 30.
Kati ya hizo threads 30, ni threads 2 tu ndio hazija wahusu wanaume.
1. Ni barua ya wazi ulio muandikia John Pombe Magufuli.
2. Ni barua iliohusu wanasiasa kuhama vyama.
Kwahiyo, naomba nihitimishe kwamba umetumiwa sana na wanaume wengi tofauti tofauti, pia unaonekana unamajeraha makubwa moyoni mwako kutuhusu sisi wanaume.
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M naona yupo sahihi kwa mtazamo wake n pia nadhan katika kufanya uchambuz wa masuala hayo tunaangalia majority and not minority kwa mfano mtu kusema labda wahaya n weus haimanish kwamba kla mhaya n mweus ila inasemekana hvo coz majority wako black tukirud kwa dada yetu mleta uzi kwakwel hao watu tajwa n pasua kichwa japo kuwa so wote
Turud kwangu kiukwel kama dada alivowataja mm pia nshasema hao watu tajwa siez date nao hata kama n tabu lakn siez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepitia threads zako zote 30.
Kati ya hizo threads 30, ni threads 2 tu ndio hazija wahusu wanaume.
1. Ni barua ya wazi ulio muandikia John Pombe Magufuli.
2. Ni barua iliohusu wanasiasa kuhama vyama.
Kwahiyo, naomba nihitimishe kwamba umetumiwa sana na wanaume wengi tofauti tofauti, pia unaonekana unamajeraha makubwa moyoni mwako kutuhusu sisi wanaume.
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja na mimi nizipitie
 
1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke

2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary

3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa

4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi

5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe



Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mimi hapa hotelia, naomba tudate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukweli ni kwamba wanamaumivu ya ndani na badala wawe wazi tuwasaidie kwa mawazo wanachofanya ni kujifanya hawajali mwisho wa siku watu wanapita nao bila kuwa na malengo nao
Mungu amuongeze binti aiseeee.....
Ukizingatia, ndio kwanza ana 25 year's old

Sent using Jamii Forums mobile app
 
n
Mungu amuongeze binti aiseeee.....
Ukizingatia, ndio kwanza ana 25 year's old

Sent using Jamii Forums mobile app
aandaa shule moja ya vijana lakini sehemu kubwa itakuwa ya vijana wa kiume sijajua vizuri mazingira ya watoto wa kike kwa kuwa naona wao fursa zinawapita haraka sana wakifika 27 basi hapo waangalie sana vinginevyo wanaweza kukutana wanaolewa na wanaume wagane au waliokwisha taraka wake zao
 
Mmh. Mleta uzi umesahau walishasema Wahenga "mchagua jembe si Mkulima".

Mie naona kikubwa kuridhiana na kupendana kwa dhati basi popote Penzi linaweza mea

Haya maneno yako ya mwisho huwa nikiyaona popote napata huzuni sana. Haya maneno si ya sawa kabisa katika uhalisia. Watu wanatakiwa kujua hapa duniani kila jambo linataka elimu.

Maneno hayo yameharibu jamii pakubwa sana.

Maneno hayo hayapaswa kuandikwa popote pale. Namaanisha maneyo ya aya ya mwisho.
 
Back
Top Bottom