Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Kama ulisha wahi kudate na polisi wazee wa kupiga na kuamsha,mkuu nakupa hongera kwa hatua yako ya kujiweka mbali na hao viumbe hatari kwa jinsia ya kike.

imesomeka!!
 
Nimepitia threads zako zote 30.
Kati ya hizo threads 30, ni threads 2 tu ndio hazija wahusu wanaume.
1. Ni barua ya wazi ulio muandikia John Pombe Magufuli.
2. Ni barua iliohusu wanasiasa kuhama vyama.
Kwahiyo, naomba nihitimishe kwamba umetumiwa sana na wanaume wengi tofauti tofauti, pia unaonekana unamajeraha makubwa moyoni mwako kutuhusu sisi wanaume.
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] ni mawazo yako ila mi sipo huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiapo alacho mwanamke ni sawa na kiapo alacho mwanasiasa. Najua ukweli ni mchungu ila mnielewe hivyo.
 
M naona yupo sahihi kwa mtazamo wake n pia nadhan katika kufanya uchambuz wa masuala hayo tunaangalia majority and not minority kwa mfano mtu kusema labda wahaya n weus haimanish kwamba kla mhaya n mweus ila inasemekana hvo coz majority wako black tukirud kwa dada yetu mleta uzi kwakwel hao watu tajwa n pasua kichwa japo kuwa so wote
Turud kwangu kiukwel kama dada alivowataja mm pia nshasema hao watu tajwa siez date nao hata kama n tabu lakn siez

Sent using Jamii Forums mobile app
Asanty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom