Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Rrondo wanawake wa jf wapoje jamani achana na maisha fake wanayoishi jf huku watu wanafake sana
Nimesema wanawake hawahawa wa Tz na jf....hakuna mwanamke Tz asiejali unafanya kazi gani ndio maana swali la kwanza huwa 'unafanya nini'. Hata ukienda kwenu kusrma umepata mtu watakuuliza unafanya.nini.
 
Mm bwana nikikupenda nakupenda ww ulivyo mengine ya ziada tu uwe navyo usiwe navyo ewala
Nimesema wanawake hawahawa wa Tz na jf....hakuna mwanamke Tz asiejali unafanya kazi gani ndio maana swali la kwanza huwa 'unafanya nini'. Hata ukienda kwenu kusrma umepata mtu watakuuliza unafanya.nini.
 
Mmh. Mleta uzi umesahau walishasema Wahenga "mchagua jembe si Mkulima".

Mie naona kikubwa kuridhiana na kupendana kwa dhati basi popote Penzi linaweza mea.
Jua kwamba Upendo huja automatically na sio kutafuta,bkikubwa Upendo wa Kweli
 
Back
Top Bottom