Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Kipendacho roho siku zote hula nyama mbichi...

Ipo siku unaweza jikuta umeangukia kwa kati ya hao...


Cc: mahondaw
 
Mimi siwezi kudate na mwalimu imagine walimu wa bongo wa kike wakati wanasahihisha madaftari anamwaga siri zote za jamaa hadi monitor class anajua[emoji23]

Sent by Diaspora
 


Hoa wa kundi la (5) tano ni mabingwa wa punyeto sana….yaani hawana mchezo hata uchochoroni tunawakamataga wakijichua.
 
Ok asante kwa uzoefu wako huo ni wazi kuwa umetumika vya kutosha na Wanaume wa makundi hayo uliyoyataja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sipendi kudate na wanaume wafupi ,wanaume wanene,wanaume wenye hasira ,kelele ,wanaoringa,kujiona,wenye misimamo ambayo haina faida,wanaochuna wadada,wenye midomo kama nini meaning wambea dah !!!
Tuje kwahao ulio wataja na waalimu napia wale ambao hawajui wanataka nini wapenda tigo.
wanaojishaua napenda mwanaume mkweli mwaminifu.
kama mtu fulanii.
 
Kwani wewe ni nani?
Unafanya kazi gani maishani mwako?
Kuna siku utakuja na depression zako kuomba ushauri hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Experienciar make perfecto,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…