Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Uwiii kweli hii ndo inaitwa Apple chini ya mwembe .... Dreva mimi, tena lasaba tena dreva wa kirikuu[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiii kweli hii ndo inaitwa Apple chini ya mwembe .... Dreva mimi, tena lasaba tena dreva wa kirikuu[emoji23][emoji23]
Mimi siwezi kudate na mwalimu imagine walimu wa bongo wa kike wakati wanasahihisha madaftari anamwaga siri zote za jamaa hadi monitor class anajua[emoji23]1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke
2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary
3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa
4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi
5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
siwezi kudate na msichana ambaye haombi hela ya matumizi
Ughwe sebho, nyela kakomuDuuuh ulicho kiandika kinaonyesha leo umekula chakula cha aina gani
Sent using Jamii Forums mobile app
1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke
2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary
3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa
4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi
5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok asante kwa uzoefu wako huo ni wazi kuwa umetumika vya kutosha na Wanaume wa makundi hayo uliyoyataja1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke
2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary
3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa
4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi
5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni nani?1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke
2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary
3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa
4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi
5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Experienciar make perfecto,1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke
2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary
3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa
4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi
5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Maharage ya mbeya mkuu ndio maanaDuuuh ulicho kiandika kinaonyesha leo umekula chakula cha aina gani
Sent using Jamii Forums mobile app