Nadhani hujanielewa mwaya kufunika kwangu nimemaanisha yaani kazi haiwi na nafasi tena hapo yenye nafasi ni mahusiano.Ukifunika ndo utateseka,ningelijua ndo inaanza kukujia kichwani,unakaa unawaza,kumbe wanaume hawa ndo walivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa hajajua nini maana ya kupenda.
Yaani kwenye kupendana kwa dhati kila kitu kinafunikwa inabaki mapenzi tu.
Hahahaaaaa
President for life baby!
Kwani vipi arifu.....nawe unautamani?
Twaweza badili katiba.....
Ukifunika ndo utateseka,ningelijua ndo inaanza kukujia kichwani,unakaa unawaza,kumbe wanaume hawa ndo walivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mko bize zaidi kuhudumia wagonjwa. Mapenzi mnayapa nafasi ndogo (wasemavyo wadau, sio Mimi)
Kuna mdada nilimtongoza juzi hapa kijiweni kwetu wakati anacome nikajibeba na kutunisha kifua ili ajae kwa box.
Mazee alivyonijibu eti
"nawee kakifua kama ka bata boda boda yenyewe ya boss".
Nilijua labda Bodaboda yangu mpya hapa kijiweni itanipa Manzi lakini wapi! sasa leo nimepata jibu... Ahsante.

NakaziaItakuwa hajajua nini maana ya kupenda.
Yaani kwenye kupendana kwa dhati kila kitu kinafunikwa inabaki mapenzi tu.
Na tulio olewa na madreva daladala nao je kuamka saa 10 lala yao saa6-7 , nao kundi gani cutelove!Ni wanaume ila ni watata,madriva wa mikoani useme una mpenzi au mume ,loh ,ujue umeisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa,nasemea mfano kuna kazi ambazo mpenzi au mume wako akiwa nayo loh,! Haupati amani kabisaNadhani hujanielewa mwaya kufunika kwangu nimemaanisha yaani kazi haiwi na nafasi tena hapo yenye nafasi ni mahusiano.
Safi sana, mwanamke anayependa kula ni mzuri sana
Safi sana, mwanamke anayependa kula ni mzuri sana
Nitafutie wateja... Nabeba wenye chura tu... na ukibinuka hudaiwi nauli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitafutie wateja... Nabeba wenye chura tu... na ukibinuka hudaiwi nauli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]