Chunguza,utakubali na ninachokisema au tembelea miji ambayo inapaki malori ya masafa kama Kahama,halafu angalia madriva wanayoyafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawaSikatai ila wapo ambao kuchepuka haukuepukiki na idadi ya anaochepuka nao si haba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unamaanisha kula nini chakula hiki cha kawaida km ugali nk.!?? Au unamaanisha chakula kile kingine!??
Exactly upo sawa kabisaWapo wenye tabia hizo ndio, ndivyo walivyo hata kama wangelikuwa na kazi tofauti na hiyo ya udereva, lakini sio madereva wote wako hivyo
Bora huyu ambaye anayafanyia hapo,roho yake inamsuta mbele ya jamii lakini hawa wa mikoani ni shida sio wote lakini kati ya madriva 10 wa masafa marefu 2 ndo labda hawafanyi hao mambo,,wengine wanasafiri na michepuko kwenye maloriTabia ya mtu haiwezi kufutika
Tofautisha kazi na tabia
Dereva wa masafa marefu hawana tabia unazo zisema ila watu badhii wakiwa ndani ya hizo kazi huwa wanafanya hizo mambo
Ukumbuke huku mtaani kuna watu wanafanya kazi za kawaida ila wanabadilisha wanawake wanavyo taka
Unafikiri huyo nae atakuwa dereva wa masafa
Kumbuka kujitambua na kuthamini familia uliyo nayo ni jambo jema na huwezi kufanya ujinga ikiwa unajitambua kuwa were ni nan
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaeeee.Hii dunia unaweza kuhisi unaonewa kumbe unajionea
Mleta uzi amejionea mwenyewe
Maana kaandika kitu ambacho ni kigumu kukitimiza hata kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Unacho kiwaza juu ya dereva ni tofauti kabisa swala la kuchepuka ni tabia ya mtu wala halina uhusiano na kazi yakeBora huyu ambaye anayafanyia hapo,roho yake inamsuta mbele ya jamii lakini hawa wa mikoani ni shida sio wote lakini kati ya madriva 10 wa masafa marefu 2 ndo labda hawafanyi hao mambo,,wengine wanasafiri na michepuko kwenye malori
Sent using Jamii Forums mobile app
😳😳😳
Hujanielewa uwe unasoma vizuri, nimesema kinachomzuia mwanaume kuchepuka ni hofu ya Mungu na sio kazi yake,mtoa maada amewatolea mfano madereva wa magari na bodaboda,Mimi nikasema hata mtu asipokuwa bodaboda au dereva wa malori atachepuka tuKumbe madaktari, manager, walimu, hawachepuki nilikuwa sijui, ila kwenye fundi sijui ni fundi yupi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa uwe unasoma vizuri, nimesema kinachomzuia mwanaume kuchepuka ni hofu ya Mungu na sio kazi yake,mtoa maada amewatolea mfano madereva wa magari na bodaboda,Mimi nikasema hata mtu asipokuwa bodaboda au dereva wa malori atachepuka tuKumbe madaktari, manager, walimu, hawachepuki nilikuwa sijui, ila kwenye fundi sijui ni fundi yupi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa uwe unasoma vizuri, nimesema kinachomzuia mwanaume kuchepuka ni hofu ya Mungu na sio kazi yake,mtoa maada amewatolea mfano madereva wa magari na bodaboda,Mimi nikasema hata mtu asipokuwa bodaboda au dereva wa malori atachepuka kama hana hofu ya MunguKumbe madaktari, manager, walimu, hawachepuki nilikuwa sijui, ila kwenye fundi sijui ni fundi yupi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kazi inachangia tabia ya mtu kuwa kimeo fuatilia hizo kazi na hapa tunaongelea majorityMwanaume kama kimeo ni kimeo tu kazi haifanyi mtu kuwa na michepuko wangapi hawakazi hizo ila wana masuria mia kidogo
Penzi la masharti sio penzi kamili. Waweza mpata mtu mwenye kazi unayoitaka lakini bado akawa navituko na vitimbi kuliko hao unaowakataa kwa vigezo vya kazi zao, nadhani mleta uzi akae atafakari zaidi kuhusu hiloMmh. Mleta uzi umesahau walishasema Wahenga "mchagua jembe si Mkulima".
Mie naona kikubwa kuridhiana na kupendana kwa dhati basi popote Penzi linaweza mea.
Inawezekana aliwaza kwa herufi ndogo akasahau kuwa kuna herufi kubwa piaUmeonaeeee.
Nionavyo hajakaa na kutafakari kwa kina.
Naongelea majority kwenye hizo kazi ..wana tabia hiyoUnacho kiwaza juu ya dereva ni tofauti kabisa swala la kuchepuka ni tabia ya mtu wala halina uhusiano na kazi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nauza mkaa,Ni wanaume ila ni watata,madriva wa mikoani useme una mpenzi au mume ,loh ,ujue umeisha
Sent using Jamii Forums mobile app