Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Hakika Sesten. Na kila mmoja ana tabia yake ambayo hata awe na kazi gani haiwezi futika.

Nakazia mleta uzi akatafakari zaidi.
Chezea kupenda weye Hajar! Yaani umpende mtu mpaka ukisikia sauti yake tu au kicheko chake tu hata kama ni kwenye simu mwli wote unasisimka halafu uanze kuangalia huyu ni dereva wa bodaboda, huyu wa safari ndefu hyu daktari kwa hiyo simtaki, hahahaaa bado hajapenda kabisa huyo
 
Pole my love inaonekana humo ushapita na una uzoefu nao
Njoo kwangu hutajuta my dear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti jamaani lol

Hajawahi kupenda kama usemavyo.
 
Kwa maelezo yako tu tayari nilishajua wewe ni MTU wa aina gani na unakutana na watu was aina gani kila Siku. Nakuhakikishia ya kuwa, huwezi kutoka nje ya hapo kwa sababu ndio watu wa aina yako hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yoote sawa ila inaonesha wazi kuwa weye ni mtu mwenye wivu hata kwa kivuli chake. Mche hunolewa kwa kuutwangia sio tupa. Nadhani utanielewa. Siku hizi hakuna one man one vote tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…