Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Nimepitia threads zako zote 30.
Kati ya hizo threads 30, ni threads 2 tu ndio hazija wahusu wanaume.
1. Ni barua ya wazi ulio muandikia John Pombe Magufuli.
2. Ni barua iliohusu wanasiasa kuhama vyama.
Kwahiyo, naomba nihitimishe kwamba umetumiwa sana na wanaume wengi tofauti tofauti, pia unaonekana unamajeraha makubwa moyoni mwako kutuhusu sisi wanaume.
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M naona yupo sahihi kwa mtazamo wake n pia nadhan katika kufanya uchambuz wa masuala hayo tunaangalia majority and not minority kwa mfano mtu kusema labda wahaya n weus haimanish kwamba kla mhaya n mweus ila inasemekana hvo coz majority wako black tukirud kwa dada yetu mleta uzi kwakwel hao watu tajwa n pasua kichwa japo kuwa so wote
Turud kwangu kiukwel kama dada alivowataja mm pia nshasema hao watu tajwa siez date nao hata kama n tabu lakn siez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngoja na mimi nizipitie
 
Vipi mimi hapa hotelia, naomba tudate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukweli ni kwamba wanamaumivu ya ndani na badala wawe wazi tuwasaidie kwa mawazo wanachofanya ni kujifanya hawajali mwisho wa siku watu wanapita nao bila kuwa na malengo nao
Mungu amuongeze binti aiseeee.....
Ukizingatia, ndio kwanza ana 25 year's old

Sent using Jamii Forums mobile app
 
n
Mungu amuongeze binti aiseeee.....
Ukizingatia, ndio kwanza ana 25 year's old

Sent using Jamii Forums mobile app
aandaa shule moja ya vijana lakini sehemu kubwa itakuwa ya vijana wa kiume sijajua vizuri mazingira ya watoto wa kike kwa kuwa naona wao fursa zinawapita haraka sana wakifika 27 basi hapo waangalie sana vinginevyo wanaweza kukutana wanaolewa na wanaume wagane au waliokwisha taraka wake zao
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…