Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Adam alifaulu eeeh, ibrahim je, tuachane na hao niambie kuhusu samsoni, yawezekana samson alikuwa na mahaba ya kihindi, yule mfalme suleiman alifanyaje kwa matakwa ya esta aliishia kukata askari wake mtiifu kichwa.Ndio hivyo
Kwani uongo??
Tatizo hamtusikilizagi
Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha
Acha kutupotosha sababu iliyomfanya adamu apewe adhabu ya kula kwa jasho ni kumsikiliza mkewe Eve. Mwanaume anayeongozwa na mkewe hana tofauti gari bovu.Ndio hivyo
Kwani uongo??
Tatizo hamtusikilizagi
Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha
Pepo ni nan sasaShindwa!!! Pepo Tokaa...!!!
Nimefika kwa wakati shukrani, ila sijaona tuwasikilize kwenye niniHalf american unaitwa huku
Shida yako mbishi ndio maana husogeiAdam alifaulu eeeh, ibrahim je, tuachane na hao niambie kuhusu samsoni, yawezekana samson alikuwa na mahaba ya kihindi, yule mfalme suleiman alifanyaje kwa matakwa ya esta aliishia kukata askari wake mtiifu kichwa. Review uziwako urekwbishe kichwa cha habari. For every failure of a man there is a woman hidden behind. Nyie wenyewe hum mwanaume akikaa kibra mnampukutisha hadi nauli
YoutubeNimefika kwa wakati shukrani, ila sijaona tuwasikilize kwenye nini
Tuwasikilize yutube? SijaelewaYoutube
Tatizo hamtusikilizagi ndio maana mnafeliInategemea Huyo Mwanamke anaongea nin[emoji871]Sio haya akiongea Pumba Afuatwe Tu[emoji870]
Baadae sanaTuwasikilize yutube? Sijaelewa
Na utaendelea kufeli Tu ukisingizia umelogwaMsikie huyu mbanga View attachment 2742517
Si unaona?!Nimekimbia fastaa nikajua mwanaume ndo ameposti
Kumbe ni Ke.
Sawa tutakuwa tunasikiliza
Hahahaa pole bossUkitaka ufeli kwa kila kitu maishani, wewe mfuate mke wako. Kwanza atakugombanisha na ndugu zako, marafiki zako na hata majirani