Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia imesema wazi kabisa
Mwanaume msikizie mkeo ili maombi yako yasizuiliwe
Google basi huo mstari utaniambia mama haujaandikwaHaipo hivyo,
Mwanaume ndio kichwa cha familia.. Hivyo miongozo yote inatoka Kwa mume, na mke anatakiwa kutii.
Nakutolea mifano mitano ya biblia ambayo wanawake waliwaangamiza wanaume.NI vile Biblia hausomi hata nikilipa maandiko utakataa
Hapa NI wapUsikilizwe Una Kitu,,Utafika Mbali.
Yani wewe utakuwa unaishi mtaroniNakutolea mifano mitano ya biblia ambayo wanawake waliwaangamiza wanaume.
1:- Adamu na eve.
2:- Samson na delila .
3:-Daudi na mamake solomoni.
4:- "Naboth vine yard" itafute hii story
5:- Sulemani na wake zake.
Nyongeza.
Ibrahim na mkewe sarah wamekubaliana vizuri kwamba Ibrahim azae na kijakazi wao Hagai kwa vile Sarah kazeeka na anachangamoto na uzazi mwisho wa siku kaona wivu na kumfukuza...
"Those are women" aisee
Soma Biblia basi Acha ubishiTofautisha kupenda na kusikiliza.. tumeamriwa tuwapende sio kuwasilikiza kama unalo andiko la kuwasikiliza nitumie..
Google basi huo mstari utaniambia mama haujaandikwa
Du,Haujalielewa neno Sawa Sawa.
Kadhalika ninyi waume, ishini na wake zenu kwa kuwahurumia, mkitambua ya kuwa wao ni dhaifu na hivyo muwape heshima, kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima. Fanyeni hivyo ili sala zenu zisizuiliwe.
1 Petro: 3:7
Ni kuhusu kuwaheshimu, Sio kuwasikiliza. Na hata tukiwasikiliza tutaheshimu mawazo yenu ila maamuzi na direction ya familia inatoka Kwa Mume.
Nenda kawe mwarabu basiMmmh ivyi unafiki kwa nn waarabu wamefanikiwa kumthibiti mwanamke na still maisha yao yako bora
Google itakuleteaNimesoma sijaona hilo onyo, yaani mwanzo hadi Ufunuo hakuna
Google daringSawa itumie biblia kuanzia kuanguka kwa adamu, suleimani samsoni mpaka maneno ya yesu kuwa tuishi na wanawake kwa akili.
Du,
Wanaume wote wangekuwa kama wewe
Wangekuwa wanaishi mtaroni
Wewe Google nilichokwambia alafu uje na jibuNdio iko hivyo...
Hata Mungu tunaita Mungu Baba... Ni mwanaume.. Ndio Mamlaka yenyewe.. Lazima utii.
Ndio sheria ya asili hiyo Dada yangu. Nje ya hapo ni upotevu na machukizo mbele ya Mungu.
MKE Hana kauli wala maamuzi Kwa Mume wake
Waefeso 5:23.
Wewe Google nilichokwambia alafu uje na jibu
Mimi ninayo moyoni huo mstari nafanya kukusaidia wewe mbishiSihitaji ku Google.. Wewe soma mistari ya Biblia nayo weka katika post zangu.
Mimi ninayo moyoni huo mstari nafanya kukusaidia wewe mbishi
Kama hutaki enda tu