Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Je Abigail mke wa Nabali vipi tolea mfano hapo!Unafikiria nini kama Ayubu angemsikiliza mkewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je Abigail mke wa Nabali vipi tolea mfano hapo!Unafikiria nini kama Ayubu angemsikiliza mkewe?
Hata kuzaliwa kwake kulikuwa kwa maajabu, hili swali hata mie niliuliza kazi iliishia hapo, siku hiyo aliua watu wengi kuliko wale aliokuwa amewaua mwanzo.Kwahiyo ulitegemea baba kumchukulia poa mzazi mwenzake case study ya Ibrahim,
Kwa upande wa samson eti kazi yake iliishia hapo inamaana ilikuwa imepangwa awaue wafilisti na mwisho aje auawe kwa kudanganywa na mwanamke..[emoji1][emoji1][emoji1].?
Whysidhani kama ni sahihi sana
Mi serikali yangu kichwa changu siombi ushauri wala kumsikiliza mwanamke. Coz mwanamke ni liability. Anatumia zaidi kuliko kuingiza.Shida yako mbishi ndio maana husogei
[emoji23][emoji23]Shindwa!!! Pepo Tokaa...!!!
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but she is your equal partner in God's gift of new life. Treat her as you should so your prayers will not be hindered.Haujaushika mstari wowote
Soma upya huo mstari uelewe 1 Petro 3:7.
Ukizidisha ubishi nitajua wewe ni yule mwingine, yule wa kwanza.
Sio yule aliesifiwa kuwa ni mfupa katika mfupa wake na nyama katika nyama yake. 😂😂
Malizia na mstari wa Waefeso 5:23. Baada ya hapo karibu Kwa mdahalo
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but she is your equal partner in God's gift of new life. Treat her as you should so your prayers will not be hindered.Jiheshimu
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but she is your equal partner in God's gift of new life. Treat her as you should so your prayers will not be hindered.[emoji23][emoji23]
Nakubaliana na wewe ila inategemea na huyo unayemsikiliza yupo vizuri kichwani au ni wale wanaowaza vikoba kuliko hata mume wake.
Mwanamke nitakae msikiliza ni atakae niambia ananyege nimsaidie kumkuna huyo tu.
Teyari ila ni no results.
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but she is your equal partner in God's gift of new life. Treat her as you should so your prayers will not be hindered.Nasubiria mwanasheria wangu😀😀
Hizo za samsoni ni story ambazo huwezi kuzidhubitisha zaidi yakusema nmesoma au nimesikia, yawezekana hao watu kipindi hicho walikuwa siku wasikivu ila dunia ile sio sawa na dunia hii
Uvivu wa Adam ndiyo ulimponza ,yeye anajua kabisa kakabidhia kambi yeye kwanini amwache mkewe pekeyake,
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but she is your equal partner in God's gift of new life. Treat her as you should so your prayers will not be hindered.Ushaanza kukimbizana na maandiko TENA? Soma biblia vizur bi dada
Kejeli zote hizo na PM unaomba wakufuate yuutubu!!
Kumbuka kuwa sio ushawishi tu kwa mmewe bali Esta aliolewa pale kwa makusudi ili kulisaidia taifa la Israel, maana Haman alitaka kuliua taifa zima la Israel maana walikuwa utumwani. Kumbuka taifa zima walifunga usiku na mchana siku 3 kwa ajili ya hilo.
Vichwa vyenyewe havina macho, vinasikiliza sauti za dada zao na mama zao halafu za mkewe hasikilizi ila hapo hapo ndipo anapolala nakuroma kabisa huku katundika miguu juu.
Unafikiria nini kama Ayubu angemsikiliza mkewe?
Feminine energy meet musculine energy ..
Be humble down to earth .. @ each other alafu ukuje hapa .. sitaki hata unishukuru baadae ..
Know where and when to touch ..
Chaos and order ..
Mshana Jr
Mzizimkavu
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but she is your equal partner in God's gift of new life. Treat her as you should so your prayers will not be hindered.Kwahiyo ulitegemea baba kumchukulia poa mzazi mwenzake case study ya Ibrahim,
Kwa upande wa samson eti kazi yake iliishia hapo inamaana ilikuwa imepangwa awaue wafilisti na mwisho aje auawe kwa kudanganywa na mwanamke..😄😄😄.?
Asante wewe unayeishi ghorofani ila tambua hili Baada ya binaadamu kuasi, mwanamke alipewa adhabu mbili kuu..
1:- kuzaa kwa uchungu.
2:-Kuwa mtumwa wa mwanaume.
I'm out....
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but she is your equal partner in God's gift of new life. Treat her as you should so your prayers will not be hindered.Kabisa mi natafuta mwanamke wakumsikiliza
Mi serikali yangu kichwa changu siombi ushauri wala kumsikiliza mwanamke. Coz mwanamke ni liability. Anatumia zaidi kuliko kuingiza.
Mpaka mwanamke niweze kukushirikisha mambo yangu lazima uwe na sifa za ziada ambazo ni wanawake wachache sana wanazo.
Wewe ni mke wangu utaujua mshahara wangu tu. Mengine nitakwambia ila uwongo, marupurupu nikipata kwenye 1m nitakwambia nina laki 1ili usinisumbue sana.
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but she is your equal partner in God's gift of new life. Treat her as you should so your prayers will not be hindered.Wakati wa kumsikiliza mwanamke ni pale tu unapotaka kumchomeka ub** wazungu walisha mwagika unapuuzia yote aliyokwambiq
Tofautisha kupenda na kusikiliza.. tumeamriwa tuwapende sio kuwasilikiza kama unalo andiko la kuwasikiliza nitumie..
Sawa itumie biblia kuanzia kuanguka kwa adamu, suleimani samsoni mpaka maneno ya yesu kuwa tuishi na wanawake kwa akili.
Nimesoma sijaona hilo onyo, yaani mwanzo hadi Ufunuo hakuna
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but she is your equal partner in God's gift of new life. Treat her as you should so your prayers will not be hindered.sidhani kama ni sahihi sana
Kiswahili?1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but she is your equal partner in God's gift of new life. Treat her as you should so your prayers will not be hindered.