Mwanaume anaemsikiliza mwanamke hawezi kufeli

Mwanaume anaemsikiliza mwanamke hawezi kufeli

Adam alifaulu eeeh, ibrahim je, tuachane na hao niambie kuhusu samsoni, yawezekana samson alikuwa na mahaba ya kihindi, yule mfalme suleiman alifanyaje kwa matakwa ya esta aliishia kukata askari wake mtiifu kichwa.

Review uziwako urekwbishe kichwa cha habari. For every failure of a man there is a woman hidden behind. Nyie wenyewe hum mwanaume akikaa kibra mnampukutisha hadi nauli
Hizo za samsoni ni story ambazo huwezi kuzidhubitisha zaidi yakusema nmesoma au nimesikia, yawezekana hao watu kipindi hicho walikuwa siku wasikivu ila dunia ile sio sawa na dunia hii
 
😅😅😅
 

Attachments

  • Screenshot_20230904-190532_1.jpg
    Screenshot_20230904-190532_1.jpg
    17.2 KB · Views: 5
Acha kutupotosha sababu iliyomfanya adamu apewe adhabu ya kula kwa jasho ni kumsikiliza mkewe Eve. Mwanaume anayeongozwa na mkewe hana tofauti gari bovu.
Uvivu wa Adam ndiyo ulimponza ,yeye anajua kabisa kakabidhia kambi yeye kwanini amwache mkewe pekeyake,
 
Correction,
Esta alifanya kichwa cha Hamani kikatwe Kwa ushawishi aliokuwa nao Kwa Mumewe Mfalme Ahasuero.

BTW, Ile ni karma maana Hamani alikuwa anafanya fitina na husda Kwa Moridekai.. Mjomba na mlezi wa Esta.

Tujifunze kuchagua vita na Watu wa kuwafanyia vita.
Kumbuka kuwa sio ushawishi tu kwa mmewe bali Esta aliolewa pale kwa makusudi ili kulisaidia taifa la Israel, maana Haman alitaka kuliua taifa zima la Israel maana walikuwa utumwani. Kumbuka taifa zima walifunga usiku na mchana siku 3 kwa ajili ya hilo.
 
Haipo hivyo,

Mwanaume ndio kichwa cha familia.. Hivyo miongozo yote inatoka Kwa mume, na mke anatakiwa kutii.
Vichwa vyenyewe havina macho, vinasikiliza sauti za dada zao na mama zao halafu za mkewe hasikilizi ila hapo hapo ndipo anapolala nakuroma kabisa huku katundika miguu juu.
 
Nakutolea mifano mitano ya biblia ambayo wanawake waliwaangamiza wanaume.

1:- Adamu na eve.

2:- Samson na delila .

3:-Daudi na mamake solomoni.

4:- "Naboth vine yard" itafute hii story

5:- Sulemani na wake zake.

Nyongeza.

Ibrahim na mkewe sarah wamekubaliana vizuri kwamba Ibrahim azae na kijakazi wao Hagai kwa vile Sarah kazeeka na anachangamoto na uzazi mwisho wa siku kaona wivu na kumfukuza...

"Those are women" aisee
Ibrahim alipunguza mapenzi kwa Sara mkewe ndiyo maana alichukia, hata Mungu alimwambia Ibrahim msikilize mkeo , mbona kabla ya kumzaa Ishmael ulimkubalia, Samson kazi yake iliishia pale, Daudi kilimponza uzinzi wake mpaka akamuua URIA
 
Unafikiria nini kama Ayubu angemsikiliza mkewe?
Yule alikuwa anamuonea huruma mmewe, kama shida ni hiyo mbona hata wanaume wenzie hakuwasikiliza, je mwanamke yule Mshunemu alimshurutisha mmewe wakamkarimu Elisha mpaka wakapata mtoto? Na yule mke wa Nabali yule Abigaili?
 
Ibrahim alipunguza mapenzi kwa Sara mkewe ndiyo maana alichukia, hata Mungu alimwambia Ibrahim msikilize mkeo , mbona kabla ya kumzaa Ishmael ulimkubalia, Samson kazi yake iliishia pale, Daudi kilimponza uzinzi wake mpaka akamuua URIA
Kwahiyo ulitegemea baba kumchukulia poa mzazi mwenzake case study ya Ibrahim,

Kwa upande wa samson eti kazi yake iliishia hapo inamaana ilikuwa imepangwa awaue wafilisti na mwisho aje auawe kwa kudanganywa na mwanamke..😄😄😄.?
 
Back
Top Bottom